Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbinu alizokuwa anazitumia Arusha kwa kusema yeye ni usalama wa taifa akinyanyasawa tu mtaani na kwenye ma baa ni hizihizi.Ole Sabaya ni suspect number moja.
Hili si la kupepesa macho.!
Watawakana na kuwapoteza lakini ukweli ndio huo, kule kuna ofisi zina majina mazuri lakini wamejaa majambazi tu. Hapa Mola ametumegea kidogo tu."Kitengo cha Maadili na Usalama Ofisi Ndogo ya CCM Lumumba" halafu wanateka watu!?
Hiyo ndo CCM mpya, yaani imejaa woga, uzandiki, unafiki, chuki, uongo, na kila aina ya ukatili.
Na hii imetokana na silika na hulka aliyonayo kinara wao wa chama yaani Meko.
Hii hutaiona au kuisikia popote kama wanavyozinyia roho mbaya habari za Lissu. Nilisikiliza News za Azam UTV jana saa mbili usiku, hata kumtaja Lissu hakutajwa.hii habari mbona ni mbaya sana? Hii inatakiwa iwe kwenye tv na redio zote.
ccm ni majambazi
kwani hawjauhi Mbati ni mkubwa wao ?Sheria ichukue mkondo wake. Alafu hao jamaa wapumbavu sana, yaani unajiita usalama wa taifa kwa Mbatia??
Damu ya mtu haiendi bure, watatajana tu hata ikipita miaka 10.Uongo mtupu, upuuzi mtupu.
Waliomuua Alphonce Mawazo mbona hawajawakamata mpaka leo?!
Hahahahaha kamzee Ole sabayaMkuu wa Wilaya ya Hai Ole SABAYA hawezi kukosa mkono wake hapa, achunguzwe na watu hawa wataja anaye wafadhili lazima utamkuta yumo. Maana hata yeye Ole Sabaya aliwahi kukamatwa Arusha akifanya shughuli za kujitaja kuwa yeye ni usalama wa taifa akawekwa ndani na ushahidi wa kitambulisho cha kubumba alikuwa nacho ccm wakamtetelea akatoka.
Subirini uchunguziNadhani hawa ndio watu wasiojulikana na wanatakiwa wajibu kesi zote za utekaji.
Asante Lissu wameanza kutajana huku
Bro kwani mbatia ni Afisa?kwani hawjauhi Mbati ni mkubwa wao ?
Duh! Kumbe mbatia ni nyokaNa hao wanajitambulisha usalama kwa kipenyo wa kitambo tangu yuko udsm alikuwa anawauza wenzake kwenye migomo. Huyo yuko kazini
Duh! Kumbe nae wale waleSasa mbatia mwenyewe si kitengo,au vitengo huwa hawajuani?.
Alikuepo mbatizaji hapambona maCCM siyaoni hapa