King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inahitaji uwe na moyo wa kipekee kumuamini mtu aliyesema wakati ule 'wameajiri walimu 5000 wiki mbili zilizopita', huku akijua anasema uongo.
Sasa kama haumwi si ajitokeze hadharani!! Ugumu uko wapi? Yeye ni Mtumishi namba 1 wa umma! Kuonekana hadharani akiwajibika ni jambo lisilo kwepeka.kuulizia sio tatizo, tatzo kutoa taarifa kuwa anaumwa.. wwe una uhakika gani kama ni mgonjwa
Huyo aliyedanganya bunge mchana kweupe ya kwamba wameajiri walimu 5000! Au unamuongelea waziri mkuu wa India!!Hamkumsikia waziri mkuu?
Unakamatwa kwa kusambaza uzushi, sio kuhoji..Kitendo cha wao kutokuonekana hadharani kinapelekea wananchi tunakamatwa pale tunapohoji walipo.
Wakijitokeza tu hatutahoji tena, na Polisi hawatatukamata pia.
sasa huko kwenye mitandao unamhoji nan!! fuata taratibu za kuhoji sio kuzusha jambo ambalo huna uhakika nalo!!. . kumbuka hiyo mitandao siyo kwetu kakaSasa kama haumwi si ajitokeze hadharani!! Ugumu uko wapi? Yeye ni Mtumishi namba 1 wa umma! Kuonekana hadharani akiwajibika ni jambo lisilo kwepeka.
Ni uzushi kwa sababu wewe si msemaji wa hao viongozi..Wewe umejuaje kama ni uzushi? Kama haumwi yuko wapi sasa? Kama yupo likizo si andae kipindi TBC wamrushe live akitoa salamu halafu tuone gazeti la leo mezani.
Unafikiri hawapo humu? Au huko twitter, FB, Instagram, nk? Pole sana.sasa huko kwenye mitandao unamhoji nan!! fuata taratibu za kuhoji sio kuzusha jambo ambalo huna uhakika nalo!!. . kumbuka hiyo mitandao siyo kwetu kaka
Hilo ndo linawafanya mkamatwe.Waziri mkuu?? yeye ndio anasema ukweli? mangapi ya uongo wanatuambia majukwaani?
Mama D wangu ,Eeeeeh yeye ndio anasema ukweli
Ni uzushi kwa sababu wewe si msemaji wa hao viongozi..
Mkubwa hadanganyi, ila anaweza anaweza kuonekana hakusema ukweli kwa kutotimiza alichoahidi..Ila wewe ndio msemaji wao au siyo? Kama sio msemaji wao je hao wasemaji wao mangapi walitudanganya kwenye majukwaa?
Ukweli utajulikana.Hilo ndo linawafanya mkamatwe.
Kifikiri Kila mnachoambiwa Ni uongo.
Katika Hali ya kawaida, mkubwa huwa haitwi muongo, japo yawezekana asiseme kweli..
Wataachiwa na watadai fidia kwa waliowafunga.Nilikuwa nahitaji ilivyo sheria kama kuna uvumi na baadhi wakakamatwa kutokana na tuhuma kuwa wamezua jambo ambalo sio la kweli,ila baada ya muda kupita ule uvumi ni jambo la kweli lisilokuwa na shaka ndani yake.
Nini hukumu ya wale waliokamatwa ?