King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Inahitaji uwe na moyo wa kipekee kumuamini mtu aliyesema wakati ule 'wameajiri walimu 5000 wiki mbili zilizopita', huku akijua anasema uongo.
Usimuamini mwanasiasa hata kama anasema ukweli.