Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

Kilimanjaro: Wawili wakamatwa wakidaiwa kuzushia ugonjwa viongozi wa Serikali

Kitendo cha wao kutokuonekana hadharani kinapelekea wananchi tunakamatwa pale tunapohoji walipo.

Wakijitokeza tu hatutahoji tena, na Polisi hawatatukamata pia.
Unakamatwa kwa kusambaza uzushi, sio kuhoji..
 
Sasa kama haumwi si ajitokeze hadharani!! Ugumu uko wapi? Yeye ni Mtumishi namba 1 wa umma! Kuonekana hadharani akiwajibika ni jambo lisilo kwepeka.
sasa huko kwenye mitandao unamhoji nan!! fuata taratibu za kuhoji sio kuzusha jambo ambalo huna uhakika nalo!!. . kumbuka hiyo mitandao siyo kwetu kaka
 
Kwa mujibu wa Mama Samia huu ni wakati wa kushikana, hatuwezi kushikana huku wengine wanashikwa. Tuombeane
 
sasa huko kwenye mitandao unamhoji nan!! fuata taratibu za kuhoji sio kuzusha jambo ambalo huna uhakika nalo!!. . kumbuka hiyo mitandao siyo kwetu kaka
Unafikiri hawapo humu? Au huko twitter, FB, Instagram, nk? Pole sana.

Sasa wangejuaje kama wanazushiwa vifo au hata kudhani wametukanwa? Wanapewa taarifa na watoto/wake/marafiki zao?
 
Tanzania ni nchi nzuri sana tuwe na utulivu tuchape kazi. Tatizo nini?
 
Nilikuwa nahitaji ilivyo sheria kama kuna uvumi na baadhi wakakamatwa kutokana na tuhuma kuwa wamezua jambo ambalo sio la kweli,ila baada ya muda kupita ule uvumi ni jambo la kweli lisilokuwa na shaka ndani yake.
Nini hukumu ya wale waliokamatwa ?
 
Wataachiwa na watadai fidia kwa waliowafunga.
 
Hata sielewi hii serikali, maranwatu wakamatwe wana zusha mara waseme tumuombee raisi afya, binafsi sina haja kumuombea mtu ambae ana afya maana watu wakikamatwa kwa kusema ni mgonjwa basi ni mzima
 
Back
Top Bottom