Wameshindwa nini?Kwenye ng'ombe wameshindwa Sasa wanaenda kuhesabu mikorosho
Msomali na Kilimo wapi na wapi!Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Yule Msomali wa Kenya wamempa Wizara ya Ulinzi.Msomali na Kilimo wapi na wapi!
Wewe unaona inawezekana?Analengo la kupata takwimu ya idadi ya mikorosho ili kuweza kusambaza pembejeo kwa usahihi.
Msomali mvishe mabomu akajilipue mskitini siyo kumkabidhi wizara ya kilimo.Msomali na Kilimo wapi na wapi!
Hakuna mwana ccm anayefikiri sawa sawa. Wote hamnazo.Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Acha ubaguziMsomali mvishe mabomu akajilipue mskitini siyo kumkabidhi wizara ya kilimo.
Ulikuwa mpango wakanda ya ziwa TU au nchizima ,Kijijini kwetu ng'ombe hawana hereni na Wala masikio hayajatobolewa na Wala chapaWameshindwa nini?
Ngombe sasa hivi wana mpaka gesti zao.
Kwani uongo kuwa wanajilipua huko kwa mabomu ?Acha ubaguzi
Ulikuwa wa nchi nzima ila iliwashinda baada ya wafugaji kuficha mifugoUlikuwa mpango wakanda ya ziwa TU au nchizima ,Kijijini kwetu ng'ombe hawana hereni na Wala masikio hayajatobolewa na Wala chapa
Wewe kaka huna akili, akili Yako imejaa chuki na ujuajinki kipumbavu, kwani wewe hujui kwamba kina mkorosho huwa una quantity yake ya kunyunyuzia viatilifu? Na hujui kuwa serikali inatoa ruzuku kwenye pembejeo za mikorosho? Sasa wata project vipi mahitaji ya hizo pembejeo bila kusajili mkulima na idadi ya mikorosho anayoimiliki, sisi wakulima wa korosho tunajua Hilo na hatujaanza Leo, kila mwaka tunahuisha maana mikorosho inapandwa mipya na mingine umri unaongezeka. Mkorosho wa miaka mitatu hauwezi kuhitaji pembejeo sawa na mkorosho wa miaka kumi. Na mwenye mikorosho 100 hawezi kuhitaji pembejeo sawa na mwenye mikorosho 700Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Bashe kama ilivyo kwa Prof Issa Shivji ni Mtanzania mwenzetu, tujadili hoja sio kujadili watu huo sio ugreat thinker.Kwani uongo kuwa wanajilipua huko kwa mabomu ?
Hata kujilipua mabomu nayo ni hojaBashe kama ilivyo Prof Issa Shivji ni Mtanzania mwenzetu, tujadili hoja sio kujadili watu huo sio ugreat thinker.
Inawezekana , Mimi ni Katibu wa AMCOS ninajua kila mkulima wa eneo langu anamiliki mikorosho mingapi na huwa anapima kg ngani kila mwaka, variation inakuwa ndogo mno.Wewe unaona inawezekana?