Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,262
- 8,144
Kwanza wanaochangia kwa kutumia neno Msomali wanaendeleza ubaguzi jambo ambalo tunataka tuachane nalo hapa jf
Pili naunga mkono hoja kwamba anakoelekea anaanza ishu za upigaji ambazo sisi huku nje tunaona ndo zilimwondoa Mashimba Ndaki
Mapendekezo: ashughulikie vikwazo vya masoko wakulima wanaibiwa na kutapeliwa kupitia madalali, vyama vya msingi, bodi za mazao.