Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bashe ni mtanzania 100%, kazaliwa na kukulia Tanzania, tukianza kuangalina asili hapo TZ tutaishia kupigana vita tuu🤣🤣Hivi Somalia Kuna mikorosho?
Aanze kuwasaidia ndugu zake wanaokimbia njaa Somalia daily,wakienda south Africa kuomba hifadhi ya ukimbizi
Ndo aje aongelee kilimo Cha Tanzania,the mother Land 🙏
Tukwambie au tunyamazeBashe ni mkulima mkubwa sana...plus familia yao pia wanalima....
Bashe ndo kilimo gani?Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Kazi ya kufanya hakuna lzm,creativity haipo sasa lzm tusajiri mikorosho.Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Labda wangemshpeshalaizia kwenye kilimo cha mirungi bloangu,ama nenee???Msomali na Kilimo wapi na wapi!
Kama HESLB hamulipi mtaweza kulipa? Hakuna free money brother jichange mpaka utoboeBashe ni tapeli tu kama walivyo wenzake ndani ya ccm!
Kuna chuo cha Sokoine... Kuna vyuo chini ya TARI... Kuna taasisi binafsi... Kuna wakulima... Kuna mabenki nk...
Kwa ujumla wake hao wadau walitakiwa wawe frontline kwenye mabadiliko makubwa ya kilimo nchini! Wizara na waziri walitakiwa wawe moderators.
But amebaki waziri peke yake anaruka kule na kule pamoja na uvccm wenzake kama wanufaika wakuu!
Hivi tunashindwa kabisa kuwa na kitu kama HESLB kwenye kilimo??
Agizia kitimoto bloangu bili nalipaBashe ni tapeli tu kama walivyo wenzake ndani ya ccm!
Kuna chuo cha Sokoine... Kuna vyuo chini ya TARI... Kuna taasisi binafsi... Kuna wakulima... Kuna mabenki nk...
Kwa ujumla wake hao wadau walitakiwa wawe frontline kwenye mabadiliko makubwa ya kilimo nchini! Wizara na waziri walitakiwa wawe moderators.
But amebaki waziri peke yake anaruka kule na kule pamoja na uvccm wenzake kama wanufaika wakuu!
Hivi tunashindwa kabisa kuwa na kitu kama HESLB kwenye kilimo??
Haya sema, unachotaka kukielewa ni nini?Wewe ndiye umechanganya mkuu
Akili yaKo imeoza Kwa hiyo Kila zao mtakuwa mnahesabu? Basi mkahesabu na miparachichi na mikahawa nchi nzima ,usilete upumbavu amekutuma wewe hapa ! Hatutaki ujinga hata mm ni mkulima wa korosho na nipo huku kusini miaka zaidi ya 50 ! Lakini siwezi kuhesabu mikorosho yangu huo mda sinaWewe kaka huna akili, akili Yako imejaa chuki na ujuajinki kipumbavu, kwani wewe hujui kwamba kina mkorosho huwa una quantity yake ya kunyunyuzia viatilifu? Na hujui kuwa serikali inatoa ruzuku kwenye pembejeo za mikorosho? Sasa wata project vipi mahitaji ya hizo pembejeo bila kusajili mkulima na idadi ya mikorosho anayoimiliki, sisi wakulima wa korosho tunajua Hilo na hatujaanza Leo, kila mwaka tunahuisha maana mikorosho inapandwa mipya na mingine umri unaongezeka. Mkorosho wa miaka mitatu hauwezi kuhitaji pembejeo sawa na mkorosho wa miaka kumi. Na mwenye mikorosho 100 hawezi kuhitaji pembejeo sawa na mwenye mikorosho 700