Wewe kaka huna akili, akili Yako imejaa chuki na ujuajinki kipumbavu, kwani wewe hujui kwamba kina mkorosho huwa una quantity yake ya kunyunyuzia viatilifu? Na hujui kuwa serikali inatoa ruzuku kwenye pembejeo za mikorosho? Sasa wata project vipi mahitaji ya hizo pembejeo bila kusajili mkulima na idadi ya mikorosho anayoimiliki, sisi wakulima wa korosho tunajua Hilo na hatujaanza Leo, kila mwaka tunahuisha maana mikorosho inapandwa mipya na mingine umri unaongezeka. Mkorosho wa miaka mitatu hauwezi kuhitaji pembejeo sawa na mkorosho wa miaka kumi. Na mwenye mikorosho 100 hawezi kuhitaji pembejeo sawa na mwenye mikorosho 700