Kalaga Baho Nongwa
JF-Expert Member
- Sep 27, 2020
- 9,953
- 23,150
Impossible. Nani sijui kamshauri... Uhesabu mikorosho?. Kesho ukipanda mipya? Kesho ikiungua?Wewe unaona inawezekana?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Impossible. Nani sijui kamshauri... Uhesabu mikorosho?. Kesho ukipanda mipya? Kesho ikiungua?Wewe unaona inawezekana?
Toka mwanzo tulieleza kuwa program hizi za Bashe zi.ekuwa mrija wa kujitajirisha kwa baadhi ya watu, lakini hazina msaada kwa wananchi.Wewe unakijua kilimo? Au ndio machampeee wa jamia forum. Mtu anaweza kuwa anakoment hapa hajawah hata kupanda mchai chai kwenye dumu kwao
Ikiunguwa si itajulikana imeunguwa mingapi?Impossible. Nani sijui kamshauri... Uhesabu mikorosho?. Kesho ukipanda mipya? Kesho ikiungua?
Tuliza munkari, acha watu wenye akili wakupe mwongozo. Kwa akili yako huwezi kuelewa kwa nini wanasajili mikoroshoMimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Bashe ni tapeli na mla rushwa kama wanaCCM wenzake wala hana loloteMimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Utapeli wake ni upi?Bashe ni tapeli tu kama walivyo wenzake ndani ya ccm!
Kuna chuo cha Sokoine... Kuna vyuo chini ya TARI... Kuna taasisi binafsi... Kuna wakulima... Kuna mabenki nk...
Kwa ujumla wake hao wadau walitakiwa wawe frontline kwenye mabadiliko makubwa ya kilimo nchini! Wizara na waziri walitakiwa wawe moderators.
But amebaki waziri peke yake anaruka kule na kule pamoja na uvccm wenzake kama wanufaika wakuu!
Hivi tunashindwa kabisa kuwa na kitu kama HESLB kwenye kilimo??
Yalime uza mwenyewe. Mkuu nalima kahawa na korosho. Kahawa yangu nakaanga nasaga nauza mwenyewe naada ya bodi kutonipa bei nayotaka na nimeizalisha kwa gharama kwa kilimo hai. Korosho pia unaweza kubangua ukauza kidogo kidogo.Ukiamua kua mkulima, usilime mazao ambayo serikali inayachukulia kama "mazao ya kimkakati". Moja wapo ni korosho. Utasumbuliwa kuanzia shambani mpaka sokoni!
Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Hata mimi huwa najiuliza ni aina gani ya kilimo ambayo huwa tunaongelea? Zamani kulikuwa na mashamba ya ngano na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa West Kilimanjaro. Wakati nilipokuwa nasoma Maua Seminari, Moshi, ni moja ya mashamba tuliyokuwa tunayatembelea wakati wa 'study tour' kujifunza kilimo na ufugaji wa kisasa. Kwa kweli mambo tuliyokuwa tukijifunza mfano machinery kama 'combine harvesters' na kukamua ng'ombe wa maziwa kwa kutumia mashine niliyakuta huko. Combine harvester moja ilikuwa na uwezo wa kuvuna hekta 10 kwa saa 1 kama sikosei na wakati huohuo ikichambua ngano nzuri na kuiweka sehemu yake na kufunga majani ya ngano kwa ajili ya kulishia mifugo. Yalikuwa ni mashamba makubwa. Ukienda nje ya nchi - mfano nilienda Poland - nikakuta wakulima wa ng'ano na unakuta shamba kubwa kama kutoka City Centre (Dar es Salaam) hadi labda Kibaha. Kilimo kama hicho ndicho mimi ninachojua. Lakini hiki kilimo cha ekari moja au nusu ekari nk. Sijui kama kitatupeleka popote. Of course, kama kuna utalaamu wa kusaidia ekari moja itoe magunia 20 au zaidi hapo naunga mkono maana ningependa hata mimi tujifunze kilimo kama Israeli, ambao wana shida ya ardhi, lakini ni wazalishaji wakubwa wa mazao ya kilimo.Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.
Aliondolewa kwa udini, tumeambie Kalemani, Lukuvi, Mabula, Masanja wameondolewa kwa tatizo lipi? kuna mpigaji zaidi ya Makamba?Kwanza wanaochangia kwa kutumia neno Msomali wanaendeleza ubaguzi jambo ambalo tunataka tuachane nalo hapa jf
Pili naunga mkono hoja kwamba anakoelekea anaanza ishu za upigaji ambazo sisi huku nje tunaona ndo zilimwondoa Mashimba Ndaki
Mapendekezo: ashughulikie vikwazo vya masoko wakulima wanaibiwa na kutapeliwa kupitia madalali, vyama vya msingi, bodi za mazao.
Israeli kuna mafisadi kama huku kwetu, kuna Basout plantation yameiua viongozi mafisadi wa CCM haina maana tenaHata mimi huwa najiuliza ni aina gani ya kilimo ambayo huwa tunaongelea? Zamani kulikuwa na mashamba ya ngano na ufugaji wa ng'ombe wa maziwa West Kilimanjaro. Wakati nilipokuwa nasoma Maua Seminari, Moshi, ni moja ya mashamba tuliyokuwa tunayatembelea wakati wa 'study tour' kujifunza kilimo na ufugaji wa kisasa. Kwa kweli mambo tuliyokuwa tukijifunza mfano machinery kama 'combine harvesters' na kukamua ng'ombe wa maziwa kwa kutumia mashine niliyakuta huko. Combine harvester moja ilikuwa na uwezo wa kuvuna hekta 10 kwa saa 1 kama sikosei na wakati huohuo ikichambua ngano nzuri na kuiweka sehemu yake na kufunga majani ya ngano kwa ajili ya kulishia mifugo. Yalikuwa ni mashamba makubwa. Ukienda nje ya nchi - mfano nilienda Poland - nikakuta wakulima wa ng'ano na unakuta shamba kubwa kama kutoka City Centre (Dar es Salaam) hadi labda Kibaha. Kilimo kama hicho ndicho mimi ninachojua. Lakini hiki kilimo cha ekari moja au nusu ekari nk. Sijui kama kitatupeleka popote. Of course, kama kuna utalaamu wa kusaidia ekari moja itoe magunia 20 au zaidi hapo naunga mkono maana ningependa hata mimi tujifunze kilimo kama Israeli, ambao wana shida ya ardhi, lakini ni wazalishaji wakubwa wa mazao ya kilimo.
Unafanyiwa audits kabla na baadaya kuuza?Yalime uza mwenyewe. Mkuu nalima kahawa na korosho. Kahawa yangu nakaanga nasaga nauza mwenyewe naada ya bodi kutonipa bei nayotaka na nimeizalisha kwa gharama kwa kilimo hai. Korosho pia unaweza kubangua ukauza kidogo kidogo.
Ili upate faida mkulima lazima ujiongeze ili ufike sokoni kwa bei unayotaka wewe
Bibi yako na babu wa wenzako kule kijijini ndani ndani amewafikia?Utapeli wake ni upi?
Taasisi mbona zinashirikishwa kuandaa mipango na mikakati ya kilimo. Kipi ambapo taasisi zilitakiwa kufanya hawajafanya. Hebu tujikite kwenye hoja.
Jibu ni ndiyo. Na mimi niko kijiji bora kwa maendeleo africaBibi yako na babu wa wenzako kule kijijini ndani ndani amewafikia?
So huko Kijiji Bora hakuna shida ya maji, masoko ya mazao na umeme?Jibu ni ndiyo. Na mimi niko kijiji bora kwa maendeleo africa
Muuza magazeti kupewa uwaziri wa taaluma ya kilimo. Mambo ya aibu sana.Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?