Hiyo ni hate speech na islamophobia sio hoja.Hata kujilipua mabomu nayo ni hoja
Na kweliπ€£Hakuna mwana ccm anayefikiri sawa sawa. Wote hamnazo.
Kwanza wanaochangia kwa kutumia neno Msomali wanaendeleza ubaguzi jambo ambalo tunataka tuachane nalo hapa jf
Pili naunga mkono hoja kwamba anakoelekea anaanza ishu za upigaji ambazo sisi huku nje tunaona ndo zilimwondoa Mashimba Ndaki
Mapendekezo: ashughulikie vikwazo vya masoko wakulima wanaibiwa na kutapeliwa kupitia madalali, vyama vya msingi, bodi za mazao.
π―%ππ preach LOVE.Kwanza wanaochangia kwa kutumia neno Msomali wanaendeleza ubaguzi jambo ambalo tunataka tuachane nalo hapa jf
Watu kama wewe inatakiwa muwe gerezani kwa kuendekeza ubaguzi wa kishenzi.Msomali na Kilimo wapi na wapi!
πππππMsomali na kilimo wapi na wapi,huyo muulize habari za uvuvi na mirungi huko kwengine anajikuta amedondokea tu kupewa shavu
Bashe kama ilivyo Prof Issa Shivji ni Mtanzania mwenzetu, tujadili hoja sio kujadili watu huo sio ugreat thinker.
Bashe ni tapeli tu kama walivyo wenzake ndani ya ccm!Mimi Bado simuelewi kabisa Hussein, anasema wakulima wa korosho waanze kuisajili mikorosho Yao ili iwe Nini?
Anajishughulisha na vitu vingi visivyokuwa na tija kabisa! Kusajili mikorosho kutaleta nafuu Gani kwa mkulima?
Hilo ndio hitaji la wakulima wa korosho? Itasaidia Nini kwa wakulima au itaongeza tija Gani?
Anachakarika na vitu vya ajabu ajabu wakati kuna mambo chungu nzima ya kimkakati hayajafanyiwa kazi, kwakweli nimechoka na porojo nyingi za hussein.