Kilimo cha Bashe hakina dira yoyote, ni porojo tu. Sasa anataka wakulima waisajili mikorosho ili iweje?

hata mungu alimuumba ADAMU NA EVA weupe na wakaambiwa nendeni mkaijaze dunia. mimi na wewe weusi tumezaliwa na nani mbona tunajidai tanzania yetu wakati mungu aliwaleta weupe wazaliane watawale. au nyumba ya kuridhi mzazi kafariki weww unajifanya nyumba yako unawadhulumu watoto wa marehemu ndio mfano wake
 
Labda anakusanya taarifa..Bila data mtakuwa mnafanya miradi na kuiacha Kila siku.. msiogope sayansi waTZ.haya Mambo yanaenda kisomi siku hizi,,hakuna mzungu atakupa hela bila kumpa data zilizokamilika,Mambo ya kupika pika data na kupelekea maripoti feki Kama practical za A-level Keisha habari
 
🤣🤣Hivi Somalia Kuna mikorosho?
Aanze kuwasaidia ndugu zake wanaokimbia njaa Somalia daily,wakienda south Africa kuomba hifadhi ya ukimbizi
Ndo aje aongelee kilimo Cha Tanzania,the mother Land 🙏
Bashe ni mtanzania 100%, kazaliwa na kukulia Tanzania, tukianza kuangalina asili hapo TZ tutaishia kupigana vita tuu
 
Maendeleo yanahitaji data, dunia ya leo bila data mtarudishwa stone age, data sasa ni bidhaa kubwa kuliko mafuta, wanaojua wanaelewa na msiojua umuhimu wa data go educate yourself, nchi zilizoendelea kuna makampuni kazi yao ni kukusanya data tuu na kuziuza kwa wanaozihitaji na mahitaji ni makubwa sana
 
Bashe ndo kilimo gani?
 
Kazi ya kufanya hakuna lzm,creativity haipo sasa lzm tusajiri mikorosho.
 
Kama HESLB hamulipi mtaweza kulipa? Hakuna free money brother jichange mpaka utoboe
 
Agizia kitimoto bloangu bili nalipa
 
Kutokana na Mashamba ya Mikorosho ni misitu na kama misitu na ni miti inayonyonya hewa mkaa (Carbon) kwanini wasisajiliwe na wao ili wapokee Carbon money?

Mkulima ajipatie kipato huku akisubiri msimu mwingine wa mavuno.
 
Kwa ajili ya kurahisisha kuwapatia ruzuku kutokana na mikorosho waliyonayo.

Kilimo cha Bashe "hakina dira" kivipi? Mbona umechanganya mada?
Wewe ndiye umechanganya mkuu
 
sajili mikorosho mbona mifugo huwekwa chapa ili kutambulika
 
Akili yaKo imeoza Kwa hiyo Kila zao mtakuwa mnahesabu? Basi mkahesabu na miparachichi na mikahawa nchi nzima ,usilete upumbavu amekutuma wewe hapa ! Hatutaki ujinga hata mm ni mkulima wa korosho na nipo huku kusini miaka zaidi ya 50 ! Lakini siwezi kuhesabu mikorosho yangu huo mda sina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…