Weka picha yake ili tuanze kuyatafuta. Naweka aina nilizo nazo ili mtujuze ni ipi kati ya hizo:Kuna aina ya maharage yanaitwa ngwala, waungwana najaribu kutafuta kwenye neti siyapati.
Sifa,
yanastail ukame hasa umasaini
pili yana soko kubwa apo ulaya, marekani na asia,
yeyote mwenye habari ya jina yake ya kiingereza please help!
Hizo zinakuwaga bei za kubahatisha unanunua mzigo wakati ni mwingi /wakati wa mavuno unaweka store, kuanzia mwezi wa 1/2/na wa tatu unaweza lala maskini ukaamka tajiri,,, Kuhusu ufuta uruhusiwi kuuza nje cose tuna viwanda vya kukamua, ila karanga ukiwa na kibali pia unaweza kupata soko zuri sana hukuI see,ipo chini sana kumbe,sawa na maharage haya mengine tu ya kawaida...kuna mdau hapa aliweka 300,000/=Tsh hadi 500,000/=Tsh tena kwa miaka hiyo ya nyuma sana.
Vip mazao ya kutoa mafuta kama alizeti na karanga huko hazitoki
Ok,unaweza kufahamu wapi pa kuanzia ili niweze kupata kibali cha kutoa karanga hadi Kenya maana nina karanga ambazo nimeshazitoa maganda na soko ni tabu kidogo au waweza kujua wapi naweza pata soko lake.Hizo zinakuwaga bei za kubahatisha unanunua mzigo wakati ni mwingi /wakati wa mavuno unaweka store, kuanzia mwezi wa 1/2/na wa tatu unaweza lala maskini ukaamka tajiri,,, Kuhusu ufuta uruhusiwi kuuza nje cose tuna viwanda vya kukamua, ila karanga ukiwa na kibali pia unaweza kupata soko zuri sana huku
Ya mwisho mkuu,unayo?Weka picha yake ili tuanze kuyatafuta.
Aksante kwa ushauri na nimekupata vyema...Kuna yeyote unayemfahamu mwenye kibali nimuuzie.Kwanza inatakiwa biashara iwe endelevu kuanzia miezi 3 na kuendelea ili usipate hasara, kama una mzigo unaojaa gari moja tu nakushauri uzia wenye vibali, kibali kinapatikana wizara ya kilimo
Mimi kinacho nipa wasi *2,unatarajia nini kama mchunga kondoo anatangulia kuharibu mahindi shambani?Chipaka.com sio Uislamu peke yake haukubaliani Na usodoma Ila dini zote.
Wako wa umini wa dini zote ambao NI mashoga,wazinzi,waongo,wafitini Na maovu mengi tu. Kila muumini ana wajibu wa Kibinafsi kufanya mazuri Na kuepukana Na mabaya.
Mwenye-EZ-Mungu Atunusuru Na maovu.
Uko mkoa gani mkuu, karanga zenyewe ni zipi /tani ngapi /10/15/30/Aksante kwa ushauri na nimekupata vyema...Kuna yeyote unayemfahamu mwenye kibali nimuuzie.
Uko mkoa gani mkuu, karanga zenyewe ni zipi /una tani ngp?Aksante kwa ushauri na nimekupata vyema...Kuna yeyote unayemfahamu mwenye kibali nimuuzie.
Zipo tani 6 mkuu.Ila naweza kupata nyingine sehemu nyingine hata tani 10 tenaMimi kinacho nipa wasi *2,unatarajia nini kama mchunga kondoo anatangulia kuharibu mahindi shambani?
Uko mkoa gani mkuu, karanga zenyewe ni zipi /tani ngapi /10/15/30/
Najaribu kuku-inbox inakataa...si unajua mambo anonymity.Uko mkoa gani mkuu, karanga zenyewe ni zipi /una tani ngp?
Poa ukijaza tani 16,utaniambia mahali ulipo tufanye biashara, alafu hujaniambia ni karanga aina ganiNajaribu kuku-inbox inakataa...si unajua mambo anonymity.
Kaka sina ila kuna mmama nimemshirikisha hapa ofisini anadai inapatikanaYa mwisho mkuu,unayo?
Naomba namba yako, nimevutiwa na kilimo hiki na nitaanza mapema wiki ijayounalimia wapi mkuu
Silimi mimi,ni mdau aliyetoa hoja hiiNaomba namba yako, nimevutiwa na kilimo hiki na nitaanza mapema wiki ijayo
1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Kisima tunaomba utueleze ni kiasi cha mbegu unatumia kwenye hekari moja1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Too bad, mtanisamehe wadau. Nimeandika maelezo juu ya kilimo hiki, bahati mbaya sana sikusave, katika ku submit network imepeperusha maelezo yote!!
Mnisamehe aisee ntatenga muda mwingine wa kuandika upya na kupost!
Muwe wavumilivu!!
Nashukuru Sana kwa ufafanuzi mzuuri, nimekupata vema.1) Natumia 6ltr@acre
2) kawaida namwagilia mara 10 mpaka kuvuna maharage kulingana na hali ya hewa.(6ltr*10=2500*6*10=>150,000/-)
3) natumia mbolea ya CAN Kg50@are=>Tsh90000
4)Tsh200,000 kulima na kuchora muelekeo wa utiririkaji wa maji.
5)booster 2ltr@6000=>12,000
6)fungicide=>40,000
7)insecticide=>48,000
8)mbolea supergro tsh 250,000.
9)palizi nafanya mwenyewe
10) navuna na kupokea mkwanja nikiwa shamba. Siku hiyo lazima nichinje jogoo kwajili ya mteja!
Karibuni sana shamba.
Ukiamua kuchagua upande huu utakuwa njia sahihi.
Usimtegemee mwajiri wako maana anakutumia kwa ujira finyu na ukizeeka hatakuhitaji kamwe.
Janjaruka mwanangu usiwe poyoyo!!
Mkuu sijaelewa ni mifuko mangapi ya Can unayotumia???? Vipi mbolea aina ya Urea inafaa pia??? Mkuu naomba km utaweza tuwasiliane nje ya hapo...1) Natumia 6ltr@acre