Naweza kukukodisha eka moja kwa Tsh 60,000/ unanilipa kabla, shamba lipo Pwani ya Mkuranga,maji yapo mengi sana,banda la kuishi kijana lipo. Unaweza pata eka hata 15 zilizo kando ya maji ya kudumu.
March to may ndio masika kwa ukanda wa Pwani,nyanda za juu kusini masika huanza november mwishoni mpaka may. Kwa hiyo utaona kwamba,november mpaka february kwa ukanda wa pwani si masika. sasa tikiti maji lenye soko la kufa mtu ni hili la january,february, tikiti la kuanzia may mpaka july huwa ni majanga sababu wakulima wengi huwa wanamudu changamoto za maji mashambani.
Mkuu malila naomba uni PM namba yako na mimi nahitaji kukodi eneo kwa ajili ya kulima matikiti.
Sisi tuliopo dar,tunawezaje kupata mashamba ya karibu ili iwe rahisi kufika shambani mara kwa mara,mwenye kujua..
Nipo Dar mkuu.
Naweza kukukodisha eka moja
kwa Tsh 60,000/ unanilipa kabla, shamba lipo Pwani ya Mkuranga,maji yapo
mengi sana,banda la kuishi kijana lipo. Unaweza pata eka hata 15 zilizo
kando ya maji ya kudumu.
mkuu mtaji sio mkubwa sana nimejaribu this year kulima ndio navuna sasa, nimetumia milion 2,320,000/= kwa heka mbili hapo nilikuwa mgeni ila next time ninauhakika wa kutumia mil. 1.8 hivi kwa ekari mbili,,,,so unaweza kujipanga hata eka moja tu mkuu.
hayo hapo nimeattach pics
Matikiti ni matunda, japo tunasema ni mboga kutokana na njia zinazotumika kuyazalsha kwan siyo tofaut na mboga.
Matunda yanaanza kukomaa kuanzia siku 80-120 kufuatana na aina, kama sugarbaby inakomaa mapema. Na il kupata matunda makubwa na yenye ubora, tunashaur kwa mti mmoja usiwe na matunda zaidi ya matano ambayo interval ya kuvuna ni siku hadi 10 kwani uvunaj ni had miezi miwil kwa mti mmoja. Hector 1=8-12 tan za matunda.
Kwa maswali zaidi kuhusu kilimo cha mazao tuwasiliane.
Mkuu nahitaji kule Shungumbweni, heka 2 tu alongside Mto, ukirudi kutoka kisiwani tutafutane basi!!Mbona mashamba yapo mengi sana,tena yenye maji ya kudumu, ukitaka ya kukodi au kununua yapo mkuu, ni wewe na hela yako basi.
Mkuu nahitaji kule Shungumbweni, heka 2 tu alongside Mto, ukirudi kutoka kisiwani tutafutane basi!!
Ushasikia mtu ametajirika kwa ukulima?