KXY
JF-Expert Member
- Dec 31, 2011
- 885
- 341
KAKA HII HABARI UMETOA HAIKO SAHIHI husasan unaposema unapanda kwa umbali wa 2 by 3 metres halafu unapata mashimo 1000. hicho kitu hakipo since one acre ina 70 by 70 metres na surface area ya 4900 meter squared. kama unapanda kwa 2 by 3m, utakua na mashimo 575 tu katika acre moja.
Tusaidiane hesabu unavyopata idadi ya mashimo.
Mi nafikiri hivi tukichukua mfano wa 2m x 2m kwa eka:
1 row = 70 yards = 64 meters divide by 2m = 32, sababu tunachimba na pale tunapoanzia kupima(inclusive) tunapata 33
kama mstari mmoja una mashimo 33 na mistari ipo 33(kwa hesabu zilezile) tunapata 33 x 33 = 1089
kwahiyo eka 1 kwa nafasi ya 2m kwa 2m tunapata mashimo 1089
Sijui mkuu unasemaje hapo, sawa?