goodmother
Senior Member
- Jul 21, 2012
- 108
- 78
Niliwahi lima Anna ni mbegu nzuri inazaa sana kwa kweli sikuona ubaya wake, sijui kwa masika changamoto zake zikoje, nililima msimu wa kiangazi.pia ungewaona wataalamu wa syngeta wakushauri mbegu gani ulime wakati gani kutegemea hali ya hewa ya mahali husika, wana mbegu inatoa hadi tani 35 kwa ekari imeacha hadi eden. Google monsato utaona varieties za mbegu za nyanya.
Karibu Syngenta upate mbegu bora ya nyanya itwayo Kilele F1 Inatoa tani 35 kwa ekari, kikonyo kimoja kinakuwa na matunda kati ya 7 mpaka 9. Pia tuna madawa bora ya ukungu eg. Ridomill Gold na sumu za wadudu. Kwa wakazi wa Dumila kuna Demo Plot ukiwa unaelekea Dodoma iko upande wa kushoto utaona bango la SYNGENTA.
Sio kwamba tunaficha bei ila ni vizur kujua mtu anachotaka na kumpa ushauri juu ya kilimo chenye tija na ndo maana tukatoa namba ya simu ili kwa maulizo na ushauri zaid.
Sio kwamba tunaficha bei ila ni vizur kujua mtu anachotaka na kumpa ushauri juu ya kilimo chenye tija na ndo maana tukatoa namba ya simu ili kwa maulizo na ushauri zaid.