the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,907
tafadhar mkuu naomb msaada wa jinsi ya kupata hizo mbegu aina ya anna f1 au eden f1 ikibidi weka na bei hapa..naomba n pm kwa kalingaasukile@gmail.com
Anna f1 paketi ya gram 1000 ni tsh 50,000 mpaka 60,000 kwa eka ukipanda spacing ya 40 sm x 40 sm x 150 sm,eka moja utahitaji miche 13,333.3 approximately 14,000 ,paketi moja ina mbegu 1000(hybrid huuzwa kwa idadi ya mbegu si gram kwan huota kwa zaidi ya 98 percent),hivyo utahitaj paketi 14000÷1000=14,itakua 14 x 50000=700000tsh au 14 x 60=840000 tsh