Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niko Mtwara Wakuu Tusaidiane Bei Za Hizo Mbegu Shanti,kipato Na Anna Na Ikiwezekana Contact Za Wahusika
Kwa Dar hususani maeneo ya kigamboni ipi mbegu bora mkuu?Tafuta wakala wa East west seed au kibo trading alie mkoani pako ndugu
Anne na asila plus Di grow org fert ni hatari una vuna hadi unachokaaaa
hao wanaitwa Tuta absoluta na wanaanza kama vipepeo kisha wana taga mayai ndiyo itakuwa funza, haisikii dawa ingine ila coragen,belt,ifect au Libax.Wakuu Naomba Msaada Nyanya Zinashambuliwa Na Funza Wadogowadogo Wa Kijani Wanakaa Kwenye Majani Yakianza Matunda Wanatoboa Na Kuingia Kwenye Matunda.Nimejaribu Dawa Nyingi Kama Dudu All,ninja,konto Nk Naomba Msaada Nitumie Dawa Gani?
hao wadudu wanakula aina yote ya nyanya na hata viazi.Kwanza tuambie unatumia variety gani ya nyanya.