Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu, hiyo multimectin inauzwa shilingi ngapi?
kwa mukoa kama iringa ni mbegu gani ya nyanya inafaa,Zipo aina ya nya nyingi ambazo huweza dumu kwa muda mrefu hta zaidi ya miezi 6. Ila sio unavyofikiri wewe. Aina za hizi nyanya kama anna f1 ni mbegu za greenhouse sasa ukienda kulima kwenye open field ndyo utavuna ila sio kwa muda mrefu utegemeavyo wewe.
Also kwakuwa unaanza ninakushaur usikimbilie kulima shamba kubwa. Lima kidogo gain experience. Kilimo kinachangamoto nyingi sana.
Nyanya aina ya Anna F1, Colazon, Eva F1 na Asilla ni nyanya ndefu ambazo unaweza kuvuna hadi miezi 8 na zina mavuno makubwa kuliko nyanya za kawaida.Wakuu Naomba Msaada Wenu Ni Mbegu Ipi Ya Nyanya Ambayo Ni Hybrid Na Inafaa Kulima Kwenye Open Field Na Bei Yake Ni Nafuu? Na Ikiwezekana Naomba Na Contact Zao
Zipo kipato, onyx, rio grande na opv nyingine lkn siku hz naskia ht Assila zinafanya vizuriNyanya gani zina stahimili sehemu ya joto?
Ngoja tupate somo nione
Mkuu Tupe feedback ya hiyo asilla 10gmHabari mkuu? Hii asilla ikiwa utaitunza vema unawaza kuvuna Mara ngapi? Maana nimeilima kidogo ( 10gm) kuijaribu nione matokeo yake. Ndiyo inaanza kuweka matunda now. Naomba unijuze unaweza kuvuna Mara ngapi?
habar jaman?,Asante dada,
Kiasi ninachofahamu ni kidogo sana,ila njaa ndio imenifanya niyatafute na kuyajua haya mambo,ukiachia mbali kuwa elimu ya kilimo nilipata kidogo kwa vitendo. Pili huku ktk kilimo ushindani sio mkubwa kama ktk biashara nyingine. karibu.
Asante sana mdau,habar jaman?,
hvi sasa npo shamba nachimba mashimo kwaajili ya kupandikiza miche ya NYANYA aina ya TANYA. Naomba mnisaidie kwa ekari moja natakiwa kupata MASHIMO MANGAPI ya kupanda miche?
je nikiweka mbolea ya mbuzi kidogo na DAP kwa kila shimo kuna tatizo?,pia yeyote mwenye ushaur zaid anisaidie. Eneo lenyewe lipo Iringa ktk wilaya ya Kilolo hvyo kuna baridi(Malila unalifaham eneo hili ni kijiji cha Masege jiran na kihesa mgagao)
pia kuna eneo limebaki la ukubwa wa 20*100 nafikiria kulima bamia je zitakubali kwa hali hii ya hewa?, sina shaka na soko nimeshatafiti hvyo nmepata
asanten sana
mkuu malila heshima kwako, mzee Almas kwa sasa ni marehem - RIP lkn mi ndo nmekodi mashamba yake.....ok karoti nmetoa mwez wa 8 saiz nataka kulima nyanya na npo ktk uchimbaji wa mashimo ili jion niweke miche shambani.Asante sana mdau,
Uko karibu na mzee Almasi wa Masege nini, pale penye jiwe lenye kutoa maji mengi kwa chini? Mbolea ya mbuzi kwa mazao ya muda mfupi ni hasara, sababu haitatumika. Yavaa ile ya kuku na kitimoto, ukikosa hizo tumia ya viwandani. Kwa nini usilime karoti? Maana Karoti kwa mitaa ile ya Mgagao na Masege ndiyo yenyewe na zitatoka muda mwafaka.
Asante sana mdau,
Uko karibu na mzee Almasi wa Masege nini, pale penye jiwe lenye kutoa maji mengi kwa chini? Mbolea ya mbuzi kwa mazao ya muda mfupi ni hasara, sababu haitatumika. Yavaa ile ya kuku na kitimoto, ukikosa hizo tumia ya viwandani. Kwa nini usilime karoti? Maana Karoti kwa mitaa ile ya Mgagao na Masege ndiyo yenyewe na zitatoka muda mwafaka.