Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Habari wanaJF eti nifanye nini ili nyanya zisiliwe na ndege?? Ahsanten
 
POLE

JARIBU KUULIZIA KATIKA MADUKA YA KILIMO/MIFUGO

Check moja wapo ya dawa kama Fenthion, au Cyanophos (Hizi zoote ni Organophosphate, Kipimo ni nusu lita kwa eka 1), dawa nyingine ni Queletox.

Habari wanaJF eti nifanye nini ili nyanya zisiliwe na ndege?? Ahsanten
 
bofya katikati kwenye alama nyekundu akibofya kwenye text itakupeleka Youtube
Pia tazama data network coverage yako
Watu wote hao wasema haifunguki, ina maana huelewi? Ni kweli haifunguki.
 
Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha kilimo cha nyanya kwa njia za kisasa - green house. Naomba contact contact za wataalamu ili niwasiliane nao kwa ushauri wa namna ya kuanzisha kilimo hicho. Nipo mkuranga.
 
Kilimo cha nyanya kwa green house ni kizur sana bt kinahitaj utaalamu wa kutosha maana gharama zake ni kubwa pia
 
Habari wanajamvi,

Nataka kuanzisha kilimo cha nyanya kwa njia za kisasa - green house. Naomba contact contact za wataalamu ili niwasiliane nao kwa ushauri wa namna ya kuanzisha kilimo hicho. Nipo mkuranga.
1479619028529.jpg
 
Tatizo la wataalamu wa kilimo ni kuhamasisha ulimaji na uzalishaji wa mazao bila kuelewa ugumu wa masoko.
Tuelewe nini mwaka huu ambao hata ng'ombe alilishwa nyanya baada ya kukosa soko?
 
Back
Top Bottom