Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Kilimo cha Nyanya: Aina za mbegu, mbinu za kulima na masoko yake

Mimi napendekeza Asila F1, kwanza inazaa nyanya kubwa na nzuri na kwamuda mrefu, unachuma kwa muda mrefu, haziharibiki mapema pia hazibonyei au kupondeka wakati wa kusafirisha.

Anna F1 nimetumia.

Ukiweza jipinde nunua au unaweza kununua Asila F1 na Anna F1 ukapanda nusu kwa nusu wakati wa mavuno utaona mwenyewe ipi utatumia siku zijazo.
 
Nimepata shamba iringa acre 5 jameni sasa nimeona nilime nysnya kuanzia oktoba 2016 ili january nianze kuvuna.

Kwa wale wanaojua mbegu bora ya kulima iringa na yenye mazao mengi,kiasi cha mbegu acre moja,mbolea,tafhadhali anijuze .
 
kwa jinsi nyanya zilivyowafanyia wakulima kitu mbaya mwaka huu hata kushauri mtu kulima unaona kama unatenda dhambi
 
Yaani hiyo ni history nyanya ninyanyue nyanya ninyanyase usijali najua kipindi cha mwezi wa pili nyanya ina hela kama unauelewe nimegee tu usiogope
 
Nimepata shamba iringa acre 5 jameni sasa nimeona nilime nysnya kuanzia oktoba 2016 ili january nianze kuvuna.

Kwa wale wanaojua mbegu bora ya kulima iringa na yenye mazao mengi,kiasi cha mbegu acre moja,mbolea,tafhadhali anijuze .
iringa sehem gan?,mi npo iringa pia na tarh 17/8 mmepanda nyanya ekari moja. mbegu nzur mm huwa natumia mkulima rio grand. kuhusu soko nitafute nikuelekeze ukimeet quality zao unaingia mkataba hupat homa ya soko ww ni kuzalisha tu
 
sory mwez wa 9
Aksante mkuu nalima pale ukishapita iringa mjini kama unaenda Mbeya pale mbele kwenye minara unaingia barabara ya kushoto umbali wa kilomita 7. Sasaekari 5 nambie mbolea kiasi gani? Na mbegu ni kiasi gani kwa ekari?
 
Nyanya imebaka wakulima mwaka huu,... Fanya utafiti masoko ya bamia na biringanya,... Nyanya ni bora ukafanya ulanguzi.
 
Aksante mkuu nalima pale ukishapita iringa mjini kama unaenda Mbeya pale mbele kwenye minara unaingia barabara ya kushoto umbali wa kilomita 7. Sasaekari 5 nambie mbolea kiasi gani? Na mbegu ni kiasi gani kwa ekari?
sema kijiji cha MGAMA au?,mi nalima mbele zaid na ninauza vzur tu....ndio ni kwa watu wa iringa tu wanapewa mkataba
 
Ndio Mgama kaka
Kama ni Mgama hapo ni fresh sana:

MBOLEA
Tumia DAP au NPK wakat wa kupanda na weka CAN baada ya siku 45 na uendelee kuweka CAN kila baada ya siku 15 mpaka msimu uishe.

DAWA
Kwa hapo mi huwa natumia sana ridomil au rincomil

SUMU
Karate au duduba ni nzuri. Sijajua umepanda mbegu aina gani ila kuna mbegu jamaa wanataka ukipanda hiyo uhakika wa soko yaani si chini ya 30,000 kwa tenga. Mwaka jana nimeuza hivyo na mwaka huu nimeshasaini 32,000.

Nitafute tuzungumze zaidi. Mi nitakuwepo huko Jumamosi ijayo
 
Mkuu tanaluza samahani kwa Tanzania sh ngapi gram 100 inauzwa na eka moja inahitaji gram ngapi?
Uvunaji wake unakuwa km hoho vile kira baada ya siku kazaa unachuma na kuota tena mauwa?
Mkuu kwa gram 100 f1 seeds? Hii ni mbegu nyingi sana Mkuu na pia utunzaji wake ni gharama sana.
 
OK asante sana kiongozi
Je kwa eka moja itaitaji gram ngapi ??

Assila F1 ni nyanya yenye ubora wa hari ya juu. mavuno mengi na inasafirishwa umbali mrefu bila kuharibika.
Ekari moja yatosha GM 30.
 
Back
Top Bottom