ALF
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 207
- 137
Mimi napendekeza Asila F1, kwanza inazaa nyanya kubwa na nzuri na kwamuda mrefu, unachuma kwa muda mrefu, haziharibiki mapema pia hazibonyei au kupondeka wakati wa kusafirisha.
Anna F1 nimetumia.
Ukiweza jipinde nunua au unaweza kununua Asila F1 na Anna F1 ukapanda nusu kwa nusu wakati wa mavuno utaona mwenyewe ipi utatumia siku zijazo.
Anna F1 nimetumia.
Ukiweza jipinde nunua au unaweza kununua Asila F1 na Anna F1 ukapanda nusu kwa nusu wakati wa mavuno utaona mwenyewe ipi utatumia siku zijazo.