Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Wakuu ni wapi naweza pata mbegu halisi ya Red Bombay yenye warranty? maana kumekuwa na mbegu fake zikiwa labeled as Red bombay while th'r not kitu ambacho kina athiri sana wakulima wa zao hili
 
Wakuu ni wapi naweza pata mbegu halisi ya Red Bombay yenye warranty ??? maana kumekuwa na mbegu fake zikiwa labeled as Red bombay while th'r not kitu ambacho kina athiri sana wakulima wa zao hili
Nenda katika taasisi zilizothibitishwa kama Balton,East Africa seed etc sasa inategemea na eneo ulilopo .Ila kama kweli ni chalii wa ara Balton wana Brach hapo
 
Wakuu ni wapi naweza pata mbegu halisi ya Red Bombay yenye warranty ??? maana kumekuwa na mbegu fake zikiwa labeled as Red bombay while th'r not kitu ambacho kina athiri sana wakulima wa zao hili
Utapata Arusha, kwenye kibo seed company....
 
uko sawa mkuu watu wanaelezewa faida tu bila changamoto

Mathayo 6:33 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

33 Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa mbinguni na haki yake, na haya yote mtaongezewa.
 
Mathayo 6:33 Neno: Bibilia Takatifu (SNT)

33 Lakini utafuteni kwanza Ufalme wa mbinguni na haki yake, na haya yote mtaongezewa.
Asiyefanya kazi na asile, ndiyo neno sahihi hapa hilo uliloliweka haliendani na maudhui.
Kumbuka habari ya Isaka kuchimba visima kwa umwagiliaji na ufugaji enzi hizo na huyu ni mtoto wa ahadi. Maombi bila matendo ni zero.
 
Asiyefanya kazi na asile, ndiyo neno sahihi hapa hilo uliloliweka haliendani na maudhui.
Kumbuka habari ya Isaka kuchimba visima kwa umwagiliaji na ufugaji enzi hizo na huyu ni mtoto wa ahadi. Maombi bila matendo ni zero.
you need a revelation to understand that word!
to help you: biblia inaposema utafuteni kwanza ufalme wa Mungu na haki yake na hivi vyote mtazidishiwa
kwanza unatakiwa uelewe; ufalme wa mbinguni nini? na kuutafuta ufalme wa mbinguni ni kufanya nini?
ufalme wa mbinguni ni ule ufalme wa Mungu Muumba wa mbingu na nchi, kumbuka kuna ufalme wa kuzimu,wa shetani
kuutafuta ufalme wa mbinguni ni kujitoa katika ukuaji wa ufalme wa mbinguni hapa duniani,
tunajitoaje katika ukuaji wake?
kupitia kuombea watu kuokoka,kushuhudia watu waokoke,kuchangia katika ueneaji wa injili kwa nguvu,akili,na mali zetu,
ukuaji wa ufalme wa mbinguni ni injili kuenea na kuwafikia watu wengi zaidi na kuwatoa kutoka kwenye ufalme wa mbinguni
Yesu alitufundisha namna ya kuomba ktk Mathayo6:9-15
9In this manner,therefore,pray: Our Father in heaven, hallowed be thy name
10 Your kingdom come.......
watu wengi hawajui kuomba, ndio maana maombi hayajibiwi,Ni lazima uombee ufalme wa mbinguni kwanza kabla ya kuleta maombi yako, kwa maelekezo zaidi kuhusu namna ya kuomba kutokana na jinsi Yesu alivyofundisha nitafute
kwahiyo, biblia inaposema kuutafuta ufalme wa mbinguni kwanza haimaanishi usifanye kazi, bali kazi uifanyayo iwe kwaajili ya ukuaji wa ufalme wake, then utapokea baraka zake kupitia kazi yako,maana kazi yako inamtukuza yeye na inasaidia ukuaji wa injili yake
MF:unapoomba Mungu akupatie Pesa, mke nk...Ili isaidie nini kwenye ufalmewake? hujaona watu wanapata pesa wanakuwa walevi wa kutupwa na kufa? wengine wamepata wake kwa hisia zao wamepata stress mpaka wamejiua!
Lakini unapoomba unamwambia Mungu, naomba ubariki kazi ya mikono yako ili nikutumikie kwa pesa zako katika kuupeleka mbele ufalme wako au nipatie mke mwema ili niweze kukutumikia wewe nikiwa nae! God will answer you immediately according to His time
This is the mystery of the kingdom of God
It is a revelation
Note: This is not applicable to anyone who is not righteous before God
halafu hiyo sijaweka hapo, ni signature yangu, ila pata mafunuo hayo

msweet nadhani na wewe umeelewa sasa
 
Message yote ndefu ya nini kwenye post ya kilimo?

Swala siyo maana ya neno bali wapi linatumiwa na ndiyo shida kwa wengi, neno hutumika mahali ni sawa na kumkuta mtu ana njaa wewe unamhubiria utafute kwanza ufalme wa Mungu na hayo yote utazidishiwa.
 
sitaki kuamini kama na wewe ni mzembe wa kufikiri
Endelea na injili maana tutaharibu Uzi bure by the way posting a wrong comment in unrelated post is spamming.

Unadhani kwanini kuna neno la wakati? Maneno yote ktk Biblia ni muhimu lakini neno la kumfaa mtu katika jambo fulani mara nyingi ni neno la WAKATI.
 
Powas....!!!!! Mie ninakuelewa vizuri sana ndugu yangu chief1.... Ni lazima tuifanyie kazi Mathayo 6:33 na kuwa our life style/ our way of life.... Tupo pamoja sana.
asante rafki angu
 
sawa boss, nimekosea
 
Yani Lita ishirini kwa heka 1 duu unapandaje iyo mbegu na km ni kitalu si utapiga kitalu kwenye shamba zima la heka 1
 

Mkuu kubota, shukrani ana kwa maelezo yako mazuri. Naomba kufanhamu kama kitunguu kinakubali endapo utalima Shinyanga kwa kilimo cha umwagiliaji. Asante sana
 
serikali haiwezi wasaidia. njia pekee ni wakulima kuungana na kutafuta soko kwa pamoja.
 
mwaka jana baada ya kusoma thread jf na kusisimuka nikaamua kwenda mang'ola karatu arusha yaani wanakodisha shamba kwa 500,000 kwa mwaka ,nikaamua kujifanya mnunuzi nikatembezwa na madalali bei ilikuwa ina range 60000 to 80,000
mwaka huu nataka nikatafiti hukon singida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…