Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Shamba nilikodi kwa miaka miwili iligharimu sh 1.000.000/=kwa miaka yote miwili kuhusu kuhudumia shamba nlimpata kijana ambaye alikuwa anasimamia shughuli zote za shamba kwahyo iligharimu Kama sh 500,000/= kwahiyo gharama yote ilikuwa 1,5m
Toa taarifa vizuri ndugu, hii siyo kweli
Mbegu ilikuwa bure?
Maji bure?
Usafiri
Nk
 
Mbegu zile punje Mkuu siyo kitunguu kizima....ahsante
Shukrani mkuu, kwahiyo ndio unashauri tukanunue zinakolimwa sasa kama tupo mbali na mashamba si ndio changamoto nyingne ya gharama za usafiri ingawa ndio hivyo unapanda kitu kwa uhakika.
 
Uko wapi saiv mkuu, arafu umefikia steji gani, maana kitunguu kimegawanyika kuanzia kulea mbegu kwenye kitaru, kuhamisha shamba na matunzo yake na mwisho mavuno. Naomba ujibu narudi kutoa uzoefu wangu
 
Naombeni wadau mchanganuo wa kilimo cha kisasa cha VITUNGUU na gharama zake, na shida kwel
"Kitunguu"....kuna vitunguu vya aina mbili yaani kitunguu maji na kitunguu swaumu, sasa wewe ni kitunguu gani unachotaka ufafanuzi wake?

Kama ni kitunguu maji hakina mahitaji mengi na kinakubali kwenye ardhi yoyote ile yenye unyevu nyevu.

mahitaji yake ni uangalizi wa kwa mara kwa ajiri ya kudhibit magonjwa hatua za awali, ukichelewa tu huvuni kitu.

kinachukua muda wa miezi minne kuanzia kupanda hadi kuvuna.

gharama ya kulima heka moja ni Tsh.milioni 3 ambayo ukifuata hatua zote kikamilifu itakupa gunia 63, na bei ya gunia moja lenye kilo 100 hadi kufikia mwezi wa pili itakuwa ni Tsh.140,000.
 
Mkuu ekari 1 inatumia mbegu lita ngapi?
Kg ngapi?
 
Nimeyapenda sana maneno haya mi mbegu yangu nimesia tarehe 24/11/2016 maneno yako yamenifariji saaaana
 
Habari..
Nna jamaa yangu amechelewa kuhamisha miche shambani, yani miche bado ipo kwenye vitalu nimshauri aendelee kuhamishia shambani ? Naomba ushauri wenu tafadhali
 
Ahsante mkuu kwa maelezo mazuri, 10 by 10 ni maneno ya kitalaam umeniacha tafadhar. hicho kipimo ni cm?
 
Ahsante mkuu kwa maelezo mazuri, 10 by 10 ni maneno ya kitalaam umeniacha tafadhar. hicho kipimo ni cm?
yaani namaanisha mdistance kutoka shina moja la kitunguu mpaka lingine iwe ni cm 10 pia distance toka mstari mmoja had mwingine iwe 10cm hyo hyo.
ila kama haulimi msim mwingine hii yaweza kukusumbua saana mkuu.
komaen jamani muda ndo huu wa kupiga hela wakuu
 
Asante sana aiseee.
 
Wakuu mimi nimeshavuna kitunguu kipo ghalani, kama kuna mtu anahitaji karibu kwa ajili ya kununua. Eneo kilipo Kitunguu ni Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.
 
Wakuu mimi nimeshavuna kitunguu kipo ghalani, kama kuna mtu anahitaji karibu kwa ajili ya kununua. Eneo kilipo Kitunguu ni Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.

weka namba yako ya simu boss
 
Nashukuru nimekupata vizur kabisa mkuu.
 
Wadau nimevuna kitunguu ninazo gunia za kutosha. Kwa anayehitaji awasiliane na mimi mzigo upo Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…