Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Shamba nilikodi kwa miaka miwili iligharimu sh 1.000.000/=kwa miaka yote miwili kuhusu kuhudumia shamba nlimpata kijana ambaye alikuwa anasimamia shughuli zote za shamba kwahyo iligharimu Kama sh 500,000/= kwahiyo gharama yote ilikuwa 1,5m
Toa taarifa vizuri ndugu, hii siyo kweli
Mbegu ilikuwa bure?
Maji bure?
Usafiri
Nk
 
Mbegu zile punje Mkuu siyo kitunguu kizima....ahsante
Shukrani mkuu, kwahiyo ndio unashauri tukanunue zinakolimwa sasa kama tupo mbali na mashamba si ndio changamoto nyingne ya gharama za usafiri ingawa ndio hivyo unapanda kitu kwa uhakika.
 
Uko wapi saiv mkuu, arafu umefikia steji gani, maana kitunguu kimegawanyika kuanzia kulea mbegu kwenye kitaru, kuhamisha shamba na matunzo yake na mwisho mavuno. Naomba ujibu narudi kutoa uzoefu wangu
 
Naombeni wadau mchanganuo wa kilimo cha kisasa cha VITUNGUU na gharama zake, na shida kwel
"Kitunguu"....kuna vitunguu vya aina mbili yaani kitunguu maji na kitunguu swaumu, sasa wewe ni kitunguu gani unachotaka ufafanuzi wake?

Kama ni kitunguu maji hakina mahitaji mengi na kinakubali kwenye ardhi yoyote ile yenye unyevu nyevu.

mahitaji yake ni uangalizi wa kwa mara kwa ajiri ya kudhibit magonjwa hatua za awali, ukichelewa tu huvuni kitu.

kinachukua muda wa miezi minne kuanzia kupanda hadi kuvuna.

gharama ya kulima heka moja ni Tsh.milioni 3 ambayo ukifuata hatua zote kikamilifu itakupa gunia 63, na bei ya gunia moja lenye kilo 100 hadi kufikia mwezi wa pili itakuwa ni Tsh.140,000.
 
Mkuu ekari 1 inatumia mbegu lita ngapi?
Kg ngapi?
 
Ndg. Wakulima wenzangu
Ni vema muelewe kuwa mazao ya bustan huwa yana msimu wake. Ukitaka bei nzur ya vitunguu ni mwez december~ may hapo lazima ukutane na tsh 120000/= -180000 wakat mwingine hufika 200000
Changamoto ni moja kipindi cha dec-may huwa ni masika vitunguu huathiriwa na mvua. Na ndio huwa bei juu
Nimeyapenda sana maneno haya mi mbegu yangu nimesia tarehe 24/11/2016 maneno yako yamenifariji saaaana
 
Habari..
Nna jamaa yangu amechelewa kuhamisha miche shambani, yani miche bado ipo kwenye vitalu nimshauri aendelee kuhamishia shambani ? Naomba ushauri wenu tafadhali
 
I STAND TO BE CORRECTED

ILA KUMBUKA KUTUMIA MBEGU ZA F1 NA UKIWEZA TUMIA RED CREOLE AU NEPTUNE F1 HIZI UKIFUATA NJIA NZUR ZA KITAALAMU UTAPATA GUNIA SI CHINI YA 120 KWA HEKARI NA PIA USISAHAU KUCHEZA NA SPACING WAKAT WA KUPANDA JAPO MIMI KUTOKANA NA XPERIENCE YANGU NA MSIMU NINAOLIMA HWA NAWEKA 10 BY 10 NAJUA KWA MBEGU HIZI NILIZOZITAJA ZINAZAA SAANA SO HAPO VITUNGUU VINAKUWA VIKUUUBWAAAAA NA VINAJAZA MAGUNIA HII INANIFEVA KWA SABABU WAKAT NAVUNA NI WAKAT DEMAND HUWA NI KUBWA SAANA SOKONI SO SIPAT SHIDA KABISAAA. NAKUWA NA QULITY (ILIYOTENGENEZWA NA MBEGU NA UTAAALAMUU KTK KILIMO) PIA NAKUWA NA QUANTITY NILIYOOTENGENEZA KUTOKANA NA SPACING.

JAMANI KITUNG KINALIPA ILA LIMEN KWA KUFUATA MSIMU JAMANI LIMEN WAKAT WA MASOKO YAKIWA HAWANA KITU HAPO MTAPIGA HELA KISHENZI
Ahsante mkuu kwa maelezo mazuri, 10 by 10 ni maneno ya kitalaam umeniacha tafadhar. hicho kipimo ni cm?
 
Ahsante mkuu kwa maelezo mazuri, 10 by 10 ni maneno ya kitalaam umeniacha tafadhar. hicho kipimo ni cm?
yaani namaanisha mdistance kutoka shina moja la kitunguu mpaka lingine iwe ni cm 10 pia distance toka mstari mmoja had mwingine iwe 10cm hyo hyo.
ila kama haulimi msim mwingine hii yaweza kukusumbua saana mkuu.
komaen jamani muda ndo huu wa kupiga hela wakuu
 
Asante sana aiseee.
 
Kitunguu chenye bei nzuri kinaanzia december to april, wakati huo wanaotamba na mzigo sokoni ni wale wenye uwezo wa kumwagilia tu. Lakini ukilogwa ukalima wakati wa masika may to september sokoni mzigo huwa mwingi kupita kiasi na bei yake hudondoka sana. Soko la kuanzia december to april wateja wanafuata mzigo wenyewe shambani tena kwa bei ya juu. Ukiwa na mzigo njoo tu hata hapa jukwaani uache namba ya simu uone huo usumbufu wa madalali.
Wakuu mimi nimeshavuna kitunguu kipo ghalani, kama kuna mtu anahitaji karibu kwa ajili ya kununua. Eneo kilipo Kitunguu ni Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.
 
Wakuu mimi nimeshavuna kitunguu kipo ghalani, kama kuna mtu anahitaji karibu kwa ajili ya kununua. Eneo kilipo Kitunguu ni Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.

weka namba yako ya simu boss
 
yaani namaanisha mdistance kutoka shina moja la kitunguu mpaka lingine iwe ni cm 10 pia distance toka mstari mmoja had mwingine iwe 10cm hyo hyo.
ila kama haulimi msim mwingine hii yaweza kukusumbua saana mkuu.
komaen jamani muda ndo huu wa kupiga hela wakuu
Nashukuru nimekupata vizur kabisa mkuu.
 
Wadau nimevuna kitunguu ninazo gunia za kutosha. Kwa anayehitaji awasiliane na mimi mzigo upo Kisaki Morogoro.

Naomba kuwasilisha.
 
Back
Top Bottom