chief1
JF-Expert Member
- May 4, 2015
- 1,418
- 1,449
Toa taarifa vizuri ndugu, hii siyo kweliShamba nilikodi kwa miaka miwili iligharimu sh 1.000.000/=kwa miaka yote miwili kuhusu kuhudumia shamba nlimpata kijana ambaye alikuwa anasimamia shughuli zote za shamba kwahyo iligharimu Kama sh 500,000/= kwahiyo gharama yote ilikuwa 1,5m
Mbegu ilikuwa bure?
Maji bure?
Usafiri
Nk