rmashauri
JF-Expert Member
- Jan 29, 2009
- 3,011
- 456
Mkuu mwenye mtaji wa mil 1,5 anitafute mm nimfanyakazi serikalini na nipo kwa wakulima zaidi twaweza fanya kitu ni pm, nb nipo mashambani
Uko maeneo gani mkuu?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mwenye mtaji wa mil 1,5 anitafute mm nimfanyakazi serikalini na nipo kwa wakulima zaidi twaweza fanya kitu ni pm, nb nipo mashambani
Hatimaye bei ya vitunguu imepanda mara dufu Dar es Salaam. Gunia sasa ni Tshs. 110,000 hadi 130,000. Mliofanikiwa kutunza kama mimi tupige pesa sasa.
Mimi pia nimeingia katka kilimo hiki cha vituguu na kwasasa nimemwanga mbengu na wiki ijayo ntaanza kupanda, nimeandaa heka tano hivi ambazo naanza nazo... Kama itanilipa ntapanua zaidi ingawa garama yake ni kubwa sn, nko nakima Moshi... Asanten wadau kwa kututia moyo aisee
View attachment 176948
Hii Hapa super gro waliotumia humu tafadhali Walete ushuhuda imesaidia wengi sana
Vitungui ni balaaa. Me nimelima sikutoa hata robo eka ktk eka 6
hukutumia wataalam mkuu..
we ni mtaalam?
Nimekuwa interested na maelezo yako bepari..kidding!!naomba namba yako tuongeeRealtor,'
Kuna sehemu fulani inaitwa ruaha mbuyuni, hapo bwana kilimo hakitegemei mvua, kitunguu kinakubali sana hapo mpendwa, vilevile uzuri wa hapo ni kwamba unawezakulima vitunguu marambili kwa mwaka, ukitoa kitunguu unaweza kulima mahindi mara mbili na maharage mwaka huo huo mmoja. Yaani ardhi ya hapo inakubali karibu kila kitu na serikali imeshapaendeleza.
Ukiweza kupapata hapo utafaidika sana lkn bei sio zile za elfu 50 kwa hekari,bei hapo ni kubwa na ni vigumu kidogo kupata eneo maana tayari mabebari tumeshayakamata,,(kidding).
ni-PM kama unataka maelezo ya zaidi naweza kukusaidia.