Kilimo cha vitunguu (saumu na maji): Ushauri na Masoko

Kinalipa. Heka Moja ni wastani wa 1 million mpaka unavuna.
Kinahitaji maji na uangalizi wa karibu. Msimu nao ni wa kuzingatia ili uvune wa
kati demand ni kubwa kama mwaka huu Jan/Feb.

binafsi nimepoteza million 6 katika kilimo cha kitunguu. huko Maeneo ya Marwa Same. Mto Ruvu unapoanzia. Wadudu wa ajabu walishambulia mara baada ya kuhamisha baada ya mbegu kukua. Nilisia hapo hapo shambani. mbegu ikaota vizuri sana. nilipopanda baada ya wiki 2 ikaharibika.
poleeeeee mpendwa, nilikua naomba kuuliza miezi mizuri ya kulima vitunguu ni ipi?
 
Maeneo Mengi ya Morogoro yanafaa kwa kilimo cha vitunguu. maarufu sana ni eneo la Ruaha mbuyuni mpakani mwa Morogoro na Iringa. Maji ni ya kutosha maana mto Ruaha upo karibu. Eneo ni tambarare power tiller inweza tembea vema bila kutumia mafuta mengi na wala kuharibika mara kwa mara. Unaweza punguza matumiz ya maji kwa kutumia mfumo wa umwagiliaji kwa matone (drip irrigation). Ukilima kitunguu au nyanya kwenye tent (screenhouse) ni bora zaidi kwa matumizi ya maji, nafasi na unaweza zalisha mwaka mzima kwa kupanga unataka kumata soko la wapi, wakati gani ambao wazalishaji wa kawaida hawana cha kuvuna, then bei yako itakuwa juu, na faida tele. Njoo tuongee kwa utani.
naomba kukuuliza mpendwa kwa uko morogoro miezi ipi ni mizuri kulima vitunguu pia wanakodisha heka moja sh ngap?
 
mpendwa naomba kuuliza kwa morogoro miezi ipi ni mizur kwa kulima vitunguu pia wanakodisha heka moja kwa sh ngapi?
 
Kwanza hongera kwa kutaka kulima. Kwa Ushahuri Wangu, nenda Karatu - Mang'ola ili ukajifunze. Kulima usilime pale, nenda ukalime Singida. Mang'ola is very expensive. Kwa sababu ya madawa na mbolea. Wadudu wameshakuwa sugu. Haya ni maoni yangu
Asante sana kiongoz lkn singda ni sehem gan itafaa zaid
 
Kukisaidia zaidi ongea na wakulima wakupe vivid data hizi za mitandaoni mostly huwa si kweli kwenye mavuno ,kupata gunia nyingi inategemea ukubwa wa shamba na aina ya mbegu
 
Adante mkuu itabid npite kwa wakulima wazoefu ili nipate uhalisia baada ya kupata theory za huku mitandaoni
 
Hongera mkuu kwa kuthubutu kwanza naomba nikuambie kuwa kitunguu boraa kinatokana na mbegu mostly F1, udongo pamoja na kuzingatia utaaalam katika kilimo.

Pia ili upate faida angalia msimu umekaaje kisha wewe lima kinyume na msimu hapo ndo utapata faida saana mkuu.

Fanya saveyi mkuu kwa wanaolima kitalaamu
 
Hongera mkuu kwa kuthubutu kwanza naomba nikuambie kuwa kitunguu boraa kinatokana na mbegu mostly F1, udongo pamoja na kuzingatia utaaalam katika kilimo.
pia ili upate faida angalia msimu umekaaje kisha wewe lima kinyume na msimu hapo ndo utapata faida saana mkuu.
fanya saveyi mkuu kwa wanaolima kitalaamu
Asante sana mkuu mapenz matam[emoji23]
Najipanga mwanzon mwa mwezi decemba niende mang'ola nikajifunze mengi zaid lkn kwa kuanzia niwaskilize kwanza wadau wangu mnipe hints
 
HABARI ZENU WAKUU MCHANGANUO HAUKO VIZUR AU HAUKO STABLE KWA MAANA UNATOFAUTIANA SAANA NI NAMNA GAANI WEWE UNATAKA KUFANYA HIYO MAMBO YAAKO. LEO NITAONGELEA HATUA YA KWANZA KABISAAAAA. HAPO GHARAMA ZA KUKODISHA NI JUU YAKKO.

ILA KAMA UNATAKA KUFANYA VIZURI ZAID ANDAA ZILE MBEGU ZA F1 AMBAZO GAHARAMA YAAKE SI CHINI YA LAKI 5.5 KWA HEKARI MOJA.
HAPO TAFTA NA DAWA AINA YA APPORN STAR (TSH5000) KWAAJILI YA KUPANDIA HII ITAKUSAIDIA SAANA KUHAKIKISHA MBEGU ZAAKO ZINAKOTA KWA ASILIMIA 99.

PIA TAFTA KAMA KILO MBILI YA MBOLEA AINA YA DAP (TSH 200 KWA KILO) ILA MIMI NINA RECOMMEND ILIYOTENGENEZWA NA KAMPUNI YA YARA.
TENGENEZA KITALU CHAKO VIZURI WEKA MISTARI IACHANE KWA CM 15 WEKA MBEGU ZAAKO KISHA FUKIA KIDOGOO SAANAAA UKIFUKIA MNOO ITAKULA KWAAKO. KISHA JU NYUNYUZIA ILE MBOLEA AINA YA DAP KISHA FUKIA KWA MAJANI JUU YAKE. SUBIRI KWA MUDA KAMA WA SIKU 7-10 MBEGU ZIKISHAANZA KUOTA TOA MAJANA NA TANDAZA JUU YA KITALU CHAKO. KISHA SUBIRI KAMA SIKU 7 UWEKE DAWA (ILA UWE UNAMWAGILIZIA)

DAWA ZA KUWEKA KITALUNI NI KAMA
1. RIDOMIL GOLD 250MLS = 12,500
2.DUDUMECTIN 500MLS =14,500
3. EASY GROW STARTER 1KG = 7,500
hybrid kama neptune usijaribu kama unategemea kuuza ndani ya nchi.

Ndani ya nchi lima mbegu za kawaida tu kama red bombay au red creole au mang'ola red au singida local.
I STAND TO BE CORRECTED

ILA KUMBUKA KUTUMIA MBEGU ZA F1 NA UKIWEZA TUMIA RED CREOLE AU NEPTUNE F1 HIZI UKIFUATA NJIA NZUR ZA KITAALAMU UTAPATA GUNIA SI CHINI YA 120 KWA HEKARI NA PIA USISAHAU KUCHEZA NA SPACING WAKAT WA KUPANDA JAPO MIMI KUTOKANA NA XPERIENCE YANGU NA MSIMU NINAOLIMA HWA NAWEKA 10 BY 10 NAJUA KWA MBEGU HIZI NILIZOZITAJA ZINAZAA SAANA SO HAPO VITUNGUU VINAKUWA VIKUUUBWAAAAA NA VINAJAZA MAGUNIA HII INANIFEVA KWA SABABU WAKAT NAVUNA NI WAKAT DEMAND HUWA NI KUBWA SAANA SOKONI SO SIPAT SHIDA KABISAAA. NAKUWA NA QULITY (ILIYOTENGENEZWA NA MBEGU NA UTAAALAMUU KTK KILIMO) PIA NAKUWA NA QUANTITY NILIYOOTENGENEZA KUTOKANA NA SPACING.

JAMANI KITUNG KINALIPA ILA LIMEN KWA KUFUATA MSIMU JAMANI LIMEN WAKAT WA MASOKO YAKIWA HAWANA KITU HAPO MTAPIGA HELA KISHENZI
 
MKUU
hybrid kama neptune usijaribu kama unategemea kuuza ndani ya nchi.

Ndani ya nchi lima mbegu za kawaida tu kama red bombay au red creole au mang'ola red au singida local.
UNAPOSEMA JAMBO JARIBU KUTOA NA UFAFANUZI MKUU. MIMI NIMEANZA MWAKA JANA KULIMA HII NEPTUNE NA NILIPATA BAGS 120 NA VISADO 3 NA SEHEM. NA NILUZA VIZURI TU. TATZO NILILOLIONA KATIKA HII MBEGU NI KUWA LICHA YA KUWA NI F1 LAKINI INASHAMBULIWA SAANA NA MAGONJWA SAANA SAANA KUANZIA KITALUNI LAKINI INA ZAA SAANA KULIKO HATA RED CREOLE. NILIANZA KULIMA RED BOMBAY MWAKA 2010 NA NILICHOGUNDUA NI KUWA BOMBAY F1 INA ZAA SAAANA PENGINE ZAID YA NEPTUNE LAKINI KITUNGUU CHAKE SIO CHA KUKAA SAANA KINAWAH KUHARIBIKA NA PIA NDO INAPENDWA SAANA HATA SOKONI INAFANYA VIZURI.

LAKINI UKIWA KAMA MKULIMA WA KISASA MWENYE MBINU MISIMU NA VIPIND NILIVYOVITAJA HAPO NI VIZURI SAANA MAAANA UNAKUTA HAKUNA KITUNGUU KABISA SOKONI NSO HAKUNA ANAEBAGUA KABISAAA
 
cute confetti

Kwa mororgoro Kitunguu kinalimwa maeneo ya Ulaya kilosa, Mvumi (km kama 20 kutoka Dumila), Dakawa, na huku mpakani mwa Iringa na Morogoro hapo Ruaha Mbuyuni

Jambo moja la kufahamu kitunguu kinapenda joto, na udongo uwe kichanga au tifutifu ili kiweze kutanuka, so hata kama uko dar na kuna maeno kama huko mkuranga au kibiti, au mto ruvu kwenye udongo huu ukiwa na maji unaweza lima kitunguu. UDONGO USIWE MFINYANZI WA KUTUAMISHA MAJI TAFADHALI.

Kwa hayo maeneo niliyokutajia nadhani (Sina hakika sana) Ruaha mbuyuni ndio itakuwa inaongoza kwa ughali wa kukodi shamba, mpaka mwaka jana November walikuwa wanakodisha eka moja kwa tsh 300,000 kwa msimu, na mwenye shamba anakupa na pump ila gharama za matengenezo na mafuta ni kwako

Jambo lingine la kuzingatia sana, plan unavyo plan mambo yako, FAHAMU KUWA kitunguu kinachukua wiki 6-8 kitaluni na siku 90 hadi 120 shambani MPAKA KUFIKIA KUKOMAA. Kitunguu HAKITAKI MAJI KABISA KIKIWA KIMEKOMAA, hivyo piga hesabu zako na UFAHAMU VYEMA KWA HILO ENEO LAKO UNALOTAKA KULIMA, ULIZIA JE MVUA ZINAANZA LINI??? , MVUA IKIKUTA KITUNGUU SHAMBANI NA KIKIWA KIMEKOMAAA HESABU HASARA KITAOZA CHOOTE.

Wadudu wasumbufu sana wa kitunguu ni Ng"onyo/Funza (Jina maarufu kwa wakulima)=Cut worm/Sota, huyu hukata miche saizi ya kiuno/juu ya uso wa ardhi huyu ndio husumbua sanaaa wakulima. Dawa yake mujarabu nia Match, au Dume, au Dimethoate

ASANTE

mpendwa naomba kuuliza kwa morogoro miezi ipi ni mizur kwa kulima vitunguu pia wanakodisha heka moja kwa sh ngapi?
 
tulu

Kwa Mororgoro Kitunguu kinalimwa maeneo ya Ulaya kilosa, Mvumi (km kama 20 kutoka Dumila), Dakawa, na huku mpakani mwa Iringa na Morogoro hapo Ruaha Mbuyuni

Naomba kuuliza wadau vitunguu Mororogoro vinalimwa wilaya gani na sehemu naomba brief yake wadau
 
Thanx mkuu maana nilikuwa blind
 
Wakuu salamu.

Nataka kuanzisha kilimo cha umwagiliaji cha kitunguu. Naomba ushauri wenu ni maeneo gani yanayoofaa kwa kilimo cha kitunguu na hasa ambayo yanaweza kuwa na maji kwa ajili ya umwagiliaji.

Nimenunua power tiller ambayo nategemea itanisaidia sana kwenye kilimo cha umwagiliaji!

Kilimo Kwanza!
Too good to be true
 
Baada ya kufuatilia mijadala na ushauri wa watu mbali mbali humu jf Mimi niliamua Kujitosa katika kilimo cha vitunguu especially swaumu ambayo inaonekana siyo maarufu Sana ukilinganisha na vitunguu maji.

Kwa kuanzia nlianza na nusu eka kwa sababu bado nilikuwa na soma ila namshukuru mungu nilifanikiwa kupata tani 1,5, ila kiuhalisia huwa kwa nusu eka unapata tani 2.5.

Hivyo basi nikaamua kusubir bei ipande mpaka 4800-5000/= kwa kilo moja so nna uwezo wa kupata sh 7,200,000/= hadi 7,500,00/= kwenye mwezi wa January hadi march ntauza mzigo wangu

Kilimo kinalipa sana. Karibuni.....
 
ulitumia shulingi ngapi? shamba lilikuwa lako au la kukodi? unasema ulikuwa unasoma nani alikuwa anahudumia na je mgao ukoje?
 
Shamba nilikodi kwa miaka miwili iligharimu sh 1.000.000/=kwa miaka yote miwili kuhusu kuhudumia shamba nlimpata kijana ambaye alikuwa anasimamia shughuli zote za shamba kwahyo iligharimu Kama sh 500,000/= kwahiyo gharama yote ilikuwa 1,5m
 
Back
Top Bottom