miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,811
- 49,053
asante mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miezi 4_5Inachukua mda gani toka kupanda hadi kuuza?
Mkuu tueleze changamoto haswa ulizokutana nazo mpaka kuvunaBaada ya kufuatilia mijadala na ushauri wa watu mbali mbali humu jf Mimi niliamua Kujitosa katika kilimo cha vitunguu especially swaumu ambayo inaonekana siyo maarufu Sana ukilinganisha na vitunguu maji.Kwa kuanzia nlianza na nusu eka kwa sababu bado nilikuwa na soma ila namshukuru mungu nilifanikiwa kupata tani 1,5, ila kiuhalisia huwa kwa nusu eka unapata tani 2.5.Hivyo basi nikaamua kusubir bei ipande mpaka 4800-5000/= kwa kilo moja so nna uwezo wa kupata sh 7,200,000/= hadi 7,500,00/= kwenye mwezi wa January hadi march ntauza mzigo wangu
Kilimo kinalipa sana. Karibuni.....
Changamoto kubwa ilikuwa kutu katika majani na bursting mana dawa zake zilikuwa ghali Sana na huwa hazisaidii Sana Kama kuna wataalamu humu watanisaidia ni dawa zipi nzur kwa kutu(rust)Mkuu tueleze changamoto haswa ulizokutana nazo mpaka kuvuna
Hongera mkuu,Shamba nilikodi kwa miaka miwili iligharimu sh 1.000.000/=kwa miaka yote miwili kuhusu kuhudumia shamba nlimpata kijana ambaye alikuwa anasimamia shughuli zote za shamba kwahyo iligharimu Kama sh 500,000/= kwahiyo gharama yote ilikuwa 1,5m
Cc @kilimoutajiri.maarifaChangamoto kubwa ilikuwa kutu katika majani na bursting mana dawa zake zilikuwa ghali Sana na huwa hazisaidii Sana Kama kuna wataalamu humu watanisaidia ni dawa zipi nzur kwa kutu(rust)
Ahsante mkuuCc @kilimomaarifa.utajiri
Asante mkuu, sorry unaweza kujua kwanini gharama za kukodi shamba zikawa juu hivyo? ni nusu ekari ulikodi kwa milioni moja ama ni eneo kubwa zaidi ya hilo na wewe ukaamua kulima nusu ekari tu?Hongera mkuu,
Swali langu naona kama uleelezea Gharama za kukodi 1M na msimamizi laki 5. Vipi kuhusu Gharama za Mbegu, Madawa nk...
Na je kilimo hicho ni mkoa gani?
Mkuu huku kupata shamba ni changamoto kwa sababu watu wameshajua faida ya kilimo hiki ndo mana wanakodisha kwa bei kubwa kidogo...Asante mkuu, sorry unaweza kujua kwanini gharama za kukodi shamba zikawa juu hivyo? ni nusu ekari ulikodi kwa milioni moja ama ni eneo kubwa zaidi ya hilo na wewe ukaamua kulima nusu ekari tu?
Cc @kilimoutajiri.maarifa
Good luckBaada ya kufuatilia mijadala na ushauri wa watu mbali mbali humu jf Mimi niliamua Kujitosa katika kilimo cha vitunguu especially swaumu ambayo inaonekana siyo maarufu Sana ukilinganisha na vitunguu maji.Kwa kuanzia nlianza na nusu eka kwa sababu bado nilikuwa na soma ila namshukuru mungu nilifanikiwa kupata tani 1,5, ila kiuhalisia huwa kwa nusu eka unapata tani 2.5.Hivyo basi nikaamua kusubir bei ipande mpaka 4800-5000/= kwa kilo moja so nna uwezo wa kupata sh 7,200,000/= hadi 7,500,00/= kwenye mwezi wa January hadi march ntauza mzigo wangu
Kilimo kinalipa sana. Karibuni.....