Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
mku unashamba kubwa hapo ruvu?
Please ndugu zangu ambao mnabweteka na kutafuta kazi kuna kilimo cha vitunguu, two years unakuwa mtu mwingine kabisa na huta penda kuajiriwa na kama utakuwa kwenye ajira unaweza acha kabisa na kuamua kuwa mkulima.
Tusiwaze kuajiriwa tu tutakufa maskin mwisho wa siku. Mimi nimejaribu na sasa nataka niache kazi na kuwa moja ya wakulima na wafanyabiashara wakubwa wa vitunguu na mazao yote ya shamba kwa ujumla ila pamoja na hilo bado nahitaji muongozo mkubwa kwa watu waliobobea kwenye ukulima pamoja na biashara ya mazao ya shambani ili waweze kunishauri zaidi.
Mimi napatikana moshi pamoja na arusha ndiko napofanyia biashara zangu. Please kwa yoyote ambaye amebobea kwenye biashara hii zaidi naomba ani PM ili tuweze kupeana contact ili mkukuza network na bidae kuweza kuanzisha kitu flani kwa manufaa yetu asanteni sana na wakilisha.
mimi nimejaribu mbeya kusema kweli hapa makadirio ya gharama inategemeana na eneo ila mimi mpaka jana nimemaliza kupandikiza gharama niliyoitumia imekuwa ndogo sana tofauti nilivyotarajia almost nusu ya makadirio ya hapa. Mungu akijalia kama mazao yakikubali mwakan najiingiza ini full walau kwa heka 50. Nawashukuru sana hasa malila for contribution.
mimi nimejaribu mbeya kusema kweli hapa makadirio ya gharama inategemeana na eneo ila mimi mpaka jana nimemaliza kupandikiza gharama niliyoitumia imekuwa ndogo sana tofauti nilivyotarajia almost nusu ya makadirio ya hapa. mungu akijalia kama mazao yakikubali mwakan najiingiza ini full walau kwa heka 50. nawashukuru sana hasa Malila for contribution.
mbeya sehemu gani mkuu
mkuuu mimi nimelima itimba, ukifika mbalizi unakata kulia kwako pale njia panda, nimejaribu acre moja na mwenzangu(wife) acre moja tuseme jumla acre mbili mwanzon nilikuwa naogopa sana gharama lakini inawezekana. mashamba ni yale ya mradi kwa hiyo hawauzi ila kuna sehemu nyingine nimepata karibia na mto mdau anauza acre 100 ndani ya mto