Kilimo chenye viashiria vya faida kubwa


Miaka yote wanahamasisha umwagilaji ila bado sana
Inatakiwa sheria haswa sio kila leo bunge linaongea na wakirudi hakuna kinachofanyika

Ila mdogo mdogo tutafika
 
Baadae usirudi Tu na gear kwamba Kwa wale wanahohitaji mbegu.........
 
Mimi sio wakala wa mbegu. Hata ingekuwa hvo kungekuwa na ubaya gani? Au umetawaliwa na wivu na roho mbaya? .pole umepishana
 
Kama kuna mdau anazalisha miche ya HASS tafadhali jongea hapa tuyajenge
 
nimekuwa nikifikiria, hii avocados, badala ya kuiuza ikiwa vile iko, kwanini tusifanye value addition, na hio itaongeza ajira, and such, nothing has a huge multi layer effect kaa hii value addition, kilimo cha kuadd value itareta ajira sana, hio ndio kitu nafikiria kitaweza kutuokoa na hii umasikini, parachichi poa ni HASS
 
Naomba mwenye kujua mashamba ya nafuu kidogo
 
Sio kweli, kwasababu sio sehemu zote parachichi zinaweza kulimwa, Wakenya wenyewe wanakuja huku Njombe kulima.Wewe tuache tulime.
 
Utasubiri saaana.
 
Embe zilikula pest Quarantine na kipindi like exposure ya masuala ya ukaguzi na sumu hayakuwepo.
Siku hizi hautoi mzigo mpaka phyto issues zipitiwe na ruhusa ya crop inspectors iwe imepita.
Safi Sana Mkuu Kwa kumuelewesha huyo jamaa.
 
Parachichi za kisasa zinahitaji uangalizi wa hali ya juu, kama huna muda na fedha ya kuhudumia usijaribu hiki kilimo
Kunaweza kuwa na chembechembe za "ukweli" katika hili, yaani kuna kaukweli kadogo tu! Nasema hivyo kwa sababu wengi wa wakulima wa parachichi aidha Njombe au Kusini au popote pale Tanzania, ni wakulima wa KAWAIDA KABISA, yaani ni wakulima wadogo au ukipenda ni WAKULIMA WADOGO WADOGO ambao hawana pesa nyingi; mtaji wao hawa ni nguvu zao wenyewe, juhudi na kiu yao ya kuondokana na umasikini na ARDHI waliyonayo. Hiyo ndiyo mitaji yao na inaweza kuwavusha wakigangamara! Siyo mihela mingi au mitaji mikubwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…