Mkulima na Mfugaji
JF-Expert Member
- Jul 26, 2013
- 1,047
- 1,832
Yaani ikifika mwakani mwezi wa tatu au wa nne naamini nitapata mtajì wa kulimia na wa biashara, naamini gunia moja la mahindi si chini ya 150000Natoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022
Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000.
Heka zote hizo Gunia22!hasara itakuinua bei hiyo February2023,Omba usikutane na mahindi ya Zambia.Natoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022
Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000.
Nilinunua mbegu aina ya Dk mifuko 7 ya kilo 2 kwa garama ya tsh 91,000.
Gharama za kupandà ni tsh 60,000.
Palizi 180,000.
Jumla ya garama zote ni tsh 511,000.
Mavuno niliyopata ni gunia 22.
Bei ya gunia moja kwa sasa ni elfu 95.
Siwezi kuuza sasa hivi kwa sasa nitayahifadhi mpaka mwaķani mwezi wa pili.
NB: Mbegu zimeìngia chache sababu shamba lina mazao mengine kama michungwa, minazi na miģomba
Vijana tuacheni kulalamika kilimo kinalipa ukiwa makini
Mkuu kwa heka moja kwa makadirio yako alitakiwa apate gunia ngapi mkuu? Tupe uzoefu wako mkuu.Heka zote hizo Gunia22!hasara itakuinua bei hiyo February2023,Omba usikutane na mahindi ya Zambia.
15,20,10Mkuu kwa heka moja kwa makadirio yako alitakiwa apate gunia ngapi mkuu? Tupe uzoefu wako mkuu.
Tazama hapa kwa makini;Yaani ikifika mwakani mwezi wa tatu au wa nne naamini nitapata mtajì wa kulimia na wa biashara, naamini gunia moja la mahindi si chini ya 150000
Karibu sana!Ngoja niweke kambi hapa
Nina ekari kumi zangu ila sijaona manufaa ya kilimo..nip3ni maarifa mkuuKaribu sana!
Labda vuli isinyeshe, mvua za vuli zikinyesha, mwezi pili watu wanavuna na bei inaporomoka ghafla.Yaani ikifika mwakani mwezi wa tatu au wa nne naamini nitapata mtajì wa kulimia na wa biashara, naamini gunia moja la mahindi si chini ya 150000
Amekuambia kwenye shamba kapanda pia mazao mengine,Heka zote hizo Gunia22!hasara itakuinua bei hiyo February2023,Omba usikutane na mahindi ya Zambia.
Kwa hiyo hizo heka tatu,mahindi heka ngapi?Amekuambia kwenye shamba kapanda pia mazao mengine,
Sijatumia mbolea inajitosheleza kwenye ardhiTazama hapa kwa makini;
Gunia 20 ×150,000 = 3m.
3M tukisie imekaa shamba kwa miezi 10,,,Ukiigawa kwa miezi 10 utapata Laki tatu kwa mwezi,,,,,Laki tatu igawe kwa siku 30 utapata elfu kumi kwa siku,,,,duh kazi nzuri.
Hujagusia mbolea au ardhi inajitosheleza?