Arturo mateo
JF-Expert Member
- Oct 9, 2020
- 636
- 1,076
Zipo kwa sunga na kwa msisi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zipo kwa sunga na kwa msisi
Ukanda wa pwani pia hakuna Cha kuweka mbolea,kibiti ,mkuranga ,chalinze,bagamoyo ,,handenimkuu kuna maeneo hayaitaji mbolea mfan kam wilaya ya hanang hatumii mbolea maeneo ya basou nafco ile ya enzi ya kanada
Kwasunga bei gan na Umbali kutoka Mioni mpaka kwasunga ni kilometer ngap?Zipo kwa sunga na kwa msisi
Kwa sunga ya karibu na miono laki na nusu,ya ndani ndani mpaka laki moja,kutoka miono kwa sunga haifiki km 1 maana pametenganishwa na mto,upande wa uku miono upande wa pili unaazia kuingia kwa sunga ,kwa hiyo Ni mita chache tuKwasunga bei gan na Umbali kutoka Mioni mpaka kwasunga ni kilometer ngap?
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwataarifaKwa sunga ya karibu na miono laki na nusu,ya ndani ndani mpaka laki moja,kutoka miono kwa sunga haifiki km 1 maana pametenganishwa na mto,upande wa uku miono upande wa pili unaazia kuingia kwa sunga ,kwa hiyo Ni mita chache tu
Zipo za kununua ,laki na nusu kwa eka ,handeni,miono chalinze laki mbili kwa eka.pia za kukodi zipo ruvu kitonga pembeni ya mto msumbiji,laki kwa eka ,maji muda wote
Nicheki pm mkuu nikupe nambamkuu me nahtaj la kukodxha hapo ruvu nlime mbogamboga unanixaidiaj?
Mkuu ungeweka hiyo namba humu au unaogopa tutakuja kukausha hayo maji.Nicheki pm mkuu nikupe namba
Mahindi gani ya Zambia kwa mwezi huo wa pili ?Heka zote hizo Gunia22!hasara itakuinua bei hiyo February2023,Omba usikutane na mahindi ya Zambia.
Tembelea masokoni tu mkuuHabarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu mwingine....Eneo nilipolimia ni BAGAMOYO.....ahsanteni
Nashukuru kwa muongozo mkuuTembelea masokoni tu mkuu
Nyanya haisumbuagi wateja
Naamini sana kilimo kinasaifi mno na pia ....naomba uangalie makala yangu kuhusu makala ya kilimo kwenye forum ya stories of changesNatoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022
Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000.
Nilinunua mbegu aina ya Dk mifuko 7 ya kilo 2 kwa garama ya tsh 91,000.
Gharama za kupandà ni tsh 60,000.
Palizi 180,000.
Jumla ya garama zote ni tsh 511,000.
Mavuno niliyopata ni gunia 22.
Bei ya gunia moja kwa sasa ni elfu 95.
Siwezi kuuza sasa hivi kwa sasa nitayahifadhi mpaka mwaķani mwezi wa pili.
NB: Mbegu zimeìngia chache sababu shamba lina mazao mengine kama michungwa, minazi na miģomba
Vijana tuacheni kulalamika kilimo kinalipa ukiwa makini
Usimtishe mkuu,kilimo hakihitaji pesa nyngi kihivyo,labda kama unataka kutoka kwa haraka,lakini kama una mtaji mdogo unaweza kuchomoka taratibu na ukatoboa,kinachohitajika ni dhamira ya kweli na kujifunza kwenda na misimu ya mvua na masoko...Lakini pia nakukumbusha tu kilimo kina hitaji pesa haswa sio hizi pesa za madafu labda kama una beep
Unalima kwa kumwagilia au kutegemea mvua?Nina ekari kumi zangu ila sijaona manufaa ya kilimo..nip3ni maarifa mkuu
Mvua mkuuUnalima kwa kumwagilia au kutegemea mvua?
Ekari 3,kwa gunia hizo 24?.Ulikosea wapi?.Ilitakiwa uchezee kati ya gunia 60 hadi 75 humo.Inavyoonyesha hukuweka mbolea.Natoa ushuhuda wangu wa kilimo cha mahindi nilichofanya msimu wa 2022
Niliandaa shamba ekari 3 kwa tsh 180,000.
Nilinunua mbegu aina ya Dk mifuko 7 ya kilo 2 kwa garama ya tsh 91,000.
Gharama za kupandà ni tsh 60,000.
Palizi 180,000.
Jumla ya garama zote ni tsh 511,000.
Mavuno niliyopata ni gunia 22.
Bei ya gunia moja kwa sasa ni elfu 95.
Siwezi kuuza sasa hivi kwa sasa nitayahifadhi mpaka mwaķani mwezi wa pili.
NB: Mbegu zimeìngia chache sababu shamba lina mazao mengine kama michungwa, minazi na miģomba
Vijana tuacheni kulalamika kilimo kinalipa ukiwa makini