Kilimo kinalipa kama ukikifanya kama kazi

mkuu kuna maeneo hayaitaji mbolea mfan kam wilaya ya hanang hatumii mbolea maeneo ya basou nafco ile ya enzi ya kanada
Ukanda wa pwani pia hakuna Cha kuweka mbolea,kibiti ,mkuranga ,chalinze,bagamoyo ,,handeni
 
Zipo za kununua ,laki na nusu kwa eka ,handeni,miono chalinze laki mbili kwa eka.pia za kukodi zipo ruvu kitonga pembeni ya mto msumbiji,laki kwa eka ,maji muda wote

Mkuu me nahitaji la kukodisha hapo ruvu nilime mbogamboga unanisaidiaje?
 
Lakini pia nakukumbusha tu kilimo kina hitaji pesa haswa sio hizi pesa za madafu labda kama una beep
 
Heka zote hizo Gunia22!hasara itakuinua bei hiyo February2023,Omba usikutane na mahindi ya Zambia.
Mahindi gani ya Zambia kwa mwezi huo wa pili ?
Msimu wa mavuno ndo huu na mahindi yanaingia ya kutosha tu hapa Tunduma na bei Ni 80,000/= sasa huo mwezi wa pili Kuna mavuno gani ya mahindi huko Zambia ?
 
Habarin Wana Jf, naomba msaada wa upatikanaji wa wanunuzi wa nyanya....nategemea KUVUNA mwanzoni wa mwezi wa KUMI panapo majaliwa, ukubwa wa shamba ni hekari moja, mbegu nilizotumia ni ASILA F1 na IMARA F1 nilichanganya mbegu japo nilizipanda kwa utofauti ili kujua mbegu Bora kwa msimu mwingine....Eneo nilipolimia ni BAGAMOYO.....ahsanteni
 
Tembelea masokoni tu mkuu
Nyanya haisumbuagi wateja
 
Naamini sana kilimo kinasaifi mno na pia ....naomba uangalie makala yangu kuhusu makala ya kilimo kwenye forum ya stories of changes
 
Lakini pia nakukumbusha tu kilimo kina hitaji pesa haswa sio hizi pesa za madafu labda kama una beep
Usimtishe mkuu,kilimo hakihitaji pesa nyngi kihivyo,labda kama unataka kutoka kwa haraka,lakini kama una mtaji mdogo unaweza kuchomoka taratibu na ukatoboa,kinachohitajika ni dhamira ya kweli na kujifunza kwenda na misimu ya mvua na masoko...
 
Ekari 3,kwa gunia hizo 24?.Ulikosea wapi?.Ilitakiwa uchezee kati ya gunia 60 hadi 75 humo.Inavyoonyesha hukuweka mbolea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…