Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Unaendeleaje lakini baada ya kuruhusiwa kutoka MIREMBE HOSPITAL

 
Unaendeleaje lakini baada ya kuruhusiwa kutoka MIREMBE HOSPITAL

Endelea drama na reality
 
Unaendeleaje lakini baada ya kuruhusiwa kutoka MIREMBE HOSPITAL

Ugonjwa wake umeanza tena
 
Mnajadiliana na chizi, huyu tarehe 26/10/2023 aliibiwa milioni 5 Magufuli Stendi akafungua uzi, tarehe 27/10/2023 akafungua uzi mwingine karuhusiwa kutoka Milembe hospital anashukuru kwa waliomuombea. Leo kaleta Uzi mwingine wa bilionea wa kilimo. Anaweza kuwa na matatizo ya akili kweli huyu.
 
Kuna Mwana JF naye alianza hivi baadae akawavua wengi kwenye mipango yake ya mbele.

Ila yeye alipangilia vizuri uzi wake
 
Hahaha si ajabu upo sebuleni kwa shemj yako unaandika kilimo kinalipa

Endelea na huo usanii utaliwa na dadako pamoja
 
Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta bangi tu?

Vijana kwenye kilimo kuna hela.asiwaambie mtu aisee last year nili earn 30 milioni na this year nimekamata milioni 50 per year nyie wengine mtashindwa nini?

Au mnasubiria serikali yenu ya maCcm ikawapa ajira? Ajira si kitu ni michosho tu asiwaambie mtu si unaona mpaka nimebadilisha jina mpaka sasa najiita bilionaire kekeman?

Ebu fikiri kijana mdogo kama mime hata 30 sijafika ndiyo kwanza nipo 27 nina zaidi ya milioni 150 kwenye akauti wewe una nini? Yaani utakuta ndiyo kwanza una zaidi ya 30+ plus maisha yako hauyaelewi kabisa aisee poleni

Call me bilionaire kekeman, poleni mnashindwa njaa sie tunashinda.mijihela.
Milioni 150 kwenye account zinafanya kazi gani?
Si bora ujenge hata nyumba upangishe au ununue bodaboda uzalishe pesa nyingine!
Billionare bhana una mbwembwe!😃
 
Achana na sele wa mboso kuna side mnyamwezi, kuna mtoto iddi, kuna ahmada cha pombe, halafu kuna bwana athumani.

Athumani akishalewa lewa.
Anashindwa kujielewa lewa.
Talilalila lila, chicha limemkolea.

😂🤣😂🤣🤣
Huyu kijana mwenzetu, Kila siku tupo nae maskani Anakula ofa za watu, anapoishi hata hapajulikani Tumetafuta, tumeuliza, hakuna ajuae Anavyozuga, anavyopita Si umdhaniae Na hafananii kabisa, na fix anazofanya Akidanganya kwa kina Unaingia kingi unafuata, kumbe hana helaaaa Longo longo nyingi Yahaya unaishi wapiKwani jina lako halisi nani Yahaya eeehhOooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh Yahaya Maskani yako Kinondoni Nyumba namba haijulikani Yahaya eeeehhOooh Yahaya, oooh Yahaya, oooh yahaya
 
Kijana umaskini utakuua,
50M kwa mwaka unaishije? Miaka 27 bado unapigania hela ugali?

Vijana acheni porojo, betting inalipa.
 
Back
Top Bottom