Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Kilimo kinavyonizidi kunitajirisha, milioni 50 kwa mwaka

Nyie vijana endeleeni kupiga majungu na uzandiki maskani sie vijana wenzenu tunaendelea kupiga maokoto kwenye kilimo just imagine kama mie naweza.kuingiza milioni 50 kwa mwaka wewe kijana mwenzangu unashindwa nini? Nyie sio kazi.yenu kupiga majungu na uzandiki vijiweni? Na wengine kazi kuvuta bangi tu?

Vijana kwenye kilimo kuna hela.asiwaambie mtu aisee last year nili earn 30 milioni na this year nimekamata milioni 50 per year nyie wengine mtashindwa nini?

Au mnasubiria serikali yenu ya maCcm ikawapa ajira? Ajira si kitu ni michosho tu asiwaambie mtu si unaona mpaka nimebadilisha jina mpaka sasa najiita bilionaire kekeman?

Ebu fikiri kijana mdogo kama mime hata 30 sijafika ndiyo kwanza nipo 27 nina zaidi ya milioni 150 kwenye akauti wewe una nini? Yaani utakuta ndiyo kwanza una zaidi ya 30+ plus maisha yako hauyaelewi kabisa aisee poleni

Call me bilionaire kekeman, poleni mnashindwa njaa sie tunashinda.mijihela.
Mkuu serikali imekataza ulimaji, uvutaji na matumizi ya bangi ila sijui kwanini bado mnaendelea
 
Ukiwa mwuongo uwe na kumbukumbu
Screenshot_20231107-203246.jpg
 
Achana na sele wa mboso kuna side mnyamwezi, kuna mtoto iddi, kuna ahmada cha pombe, halafu kuna bwana athumani.

Athumani akishalewa lewa.
Anashindwa kujielewa lewa.
Talilalila lila, chicha limemkolea.

😂🤣😂🤣🤣
Wewe ni muhenga
 
Unaingiza million 50 kwa mwaka halafu unashindwa kuandika kitu cha kumsaidia Mtu?
Utakuwa unalimiwa na misukule sio kwa akili za kitaalam
 
Vijana msikatishwe tamaa na huyu hebu fungueni hii attachment hapa mjue mnadeal na nani
 

Attachments

  • Screenshot_20231107-211652_Chrome.jpg
    Screenshot_20231107-211652_Chrome.jpg
    198.6 KB · Views: 6
Back
Top Bottom