GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
- #21
Namlisha aliyekuleta duniani.Wewe unalisha nini?
Familia yako tu kulisha vizuri mgogoro umekalia kuongelea nchi
Anzia kwako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namlisha aliyekuleta duniani.Wewe unalisha nini?
Familia yako tu kulisha vizuri mgogoro umekalia kuongelea nchi
Anzia kwako
Mkuu wa SUA wamezidi kwani hawapendi Kusoma, wanapenda mno 'Bata' halafu ni Washamba. Tuacheni tu tuwatie Ok?Hao wa sua ni sample tu, vyuo vyote viko hivyo
Wapi unaotaMkuu wa SUA wamezidi kwani hawapendi Kusoma, wanapenda mno Bata halafu ni Washamba. Tuacheni tu tuwabandue.
Basi sawa 'siwakazi' Mademu wa SUA bali ' nakukazia' Dada zako je, umeridhika?Wapi unaota
Acha pombe utakufa mlevi weweKwa Kujiamini kabisa na kwa Jeuri zote jana nimemkaza Mmoja alipotoka kufanya Test yake na Leo pia nakaza mwingine.
Hivi Mademu wa SUA wangekuwa Serious na Shule yao ningekuwa nawaokota hovyo katika Baa za Misufini na SUA jirani?Hoja uliyoleta "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?
Ila cha ajabu umeanza kushambulia wanafunzi utadhani hoja ni Wanafunzi wa SUA Wana mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa
Siku hizi Mr Gentamicin sijui umekumbwa na tatizo gani, maana sio yule Gentamicin tuliemzoea miaka kadhaa nyuma, siku hizi unalopoka lopoka tu, sijui ndo Hasira za Yanga kubeba ubingwa wa ligi au ni vipi
miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wanatumia moja moja Kwa elimu zao mitaani ni hao wa SUA, ila kwakuwa wanafanya kwa udogo na uwekezaji unakuwa wa kusua sua ndiomaana hakuna madariko kuonekana kitaifa
Kilimo chenye tija kinataka uwekezaji na sio maneno yenu ya mjiari mjiari, Tembea uone vile vijana waliotoka SUA wanapiga kazi, hayo Mambo ya kushinda bar na kwenda gest ni Mambo personal ya watu, ata daktari wa binadamu anaweza kwenda bar na gest
Mabadiriko yaliyoletwa na hao vijana wa SUA wanaoshinda bar na gest ni makubwa sana kulinganisha na nguvu inayotumika, kama wewe huyaoni hayo mabadiriko kawaulize watu wakulima na wafugaji maana hao ndio wanaodeal moja moja na wahusika
Nenda kaishauri serikali yako kama inataka sekta ya kilimo Tanzania iwe na mchango mkubwa kiuchumi inabidi iwekeze vya kutosha kwenye hiyo sekta pamoja na kuwatumia hao wahitimu na sio kuleta siasa kwenye issue za msingi
Huo Ugonjwa unaonimaanisha / unaonihusisha nao Kaniambukiza Aliyekuleta duniani sawa?Acha pombe utakufa mlevi wewe
Tayari umeshalewa bapa la konyagi kubwa halafu mgonjwa wewe
Wewe mgonjwa na mwathirikaBasi sawa 'siwakazi' Mademu wa SUA bali ' nakukazia' Dada zako je, umeridhika?
Anza Kumlaumu aliyekuleta duniani kwani kwa Kutotulia Kwake ndiko 'Kaniambukiza' nami pia.Wewe mgonjwa na mwathirika
Unalewa pombe.kali kusteam out mi frustrated yako ya kujua siku yeyote unaondoka duniani kwa afya duni ya magonjwa yako uliyoyapata kwa kuodhibiti life style zako baada ya kupata pesa
Umechoka kwa maradhi hadi basi
Bwahahaaaaaaaaaaaaaa,hii ni kali,itaingia kwenye Guinness World record,na huyo mtafiti atatunukiwa uprosefeli kabisaNDIO HAO WAMELETA UGUNDUZI WA KUCHEMSHA MAJEMBE[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2274138
Nimlaumu kwa lipi.sina alinifunza ukipata pesa au cheo cha u boss au u star jitahidi kudhibiti lifestyle zako vinginevyo ukimwi utapata chapchap sababu utagombaniwa kama mpira wa kona kila mtu atakutakaAnza Kumlaumu aliyekuleta duniani kwani kwa Kutotulia Kwake ndiko 'Kaniambukiza' nami pia.
Narudia Kusisitiza Kwako kuwa huu Ugonjwa wa 'UKIMWI' unaon nao mara kwa mara hapa JF ameniambukiza Mamaako.Nimlaumu kwa lipi.sina alinifunza ukipata pesa au cheo cha u boss au u star jitahidi kudhibiti lifestyle zako vinginevyo ukimwi utapata chapchap sababu utagombaniwa kama mpira wa kona kila mtu atakutaka
Wewe yalikushinda umeona matokeo maradhi kibao ihusianayo na umalaya
Wale wamewekeza kwa kila nyanja mkuu, Wamewekeza kwenye Elimu ambao ndo chimbuko la mapinduzi ya Kilimo chao. Na baada ya hapo Sera zao na mahusiano yanawasaidia sana, Israeli mfano wanauza sana USA na EU country."Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?," - Mbunge wa kalambo Josephat Kandege
Chanzo: EastAfricaTV
Israel nchi ndogo sana tu na haaina Ardhi Kubwa lakini wameweza Kujiimarisha kwa Kilimo na wanalisha hadi Dunia pia.
Rwanda hapana, Rwanda la bda Kahawa yao, Ila Israeli yes wamewekeza sana wale kwenye elimuHaingii Akilini nchi ndogo kama za Rwanda na Israel zinalima kwa Uwingi na wako 'serous' kwa Kilimo na Sisi tupo tupo tu.
Mleta maada kaisha badili Maaada,Hoja uliyoleta "Je serikali ina mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa kwenye uchumi wa Taifa kuliko hali ilivyo hivi sasa?
Ila cha ajabu umeanza kushambulia wanafunzi utadhani hoja ni Wanafunzi wa SUA Wana mpango gani wa kuhakikisha sekta ya kilimo inakuwa na mchango mkubwa
Siku hizi Mr Gentamicin sijui umekumbwa na tatizo gani, maana sio yule Gentamicin tuliemzoea miaka kadhaa nyuma, siku hizi unalopoka lopoka tu, sijui ndo Hasira za Yanga kubeba ubingwa wa ligi au ni vipi
miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu ambao wanatumia moja moja Kwa elimu zao mitaani ni hao wa SUA, ila kwakuwa wanafanya kwa udogo na uwekezaji unakuwa wa kusua sua ndiomaana hakuna madariko kuonekana kitaifa
Kilimo chenye tija kinataka uwekezaji na sio maneno yenu ya mjiari mjiari, Tembea uone vile vijana waliotoka SUA wanapiga kazi, hayo Mambo ya kushinda bar na kwenda gest ni Mambo personal ya watu, ata daktari wa binadamu anaweza kwenda bar na gest
Mabadiriko yaliyoletwa na hao vijana wa SUA wanaoshinda bar na gest ni makubwa sana kulinganisha na nguvu inayotumika, kama wewe huyaoni hayo mabadiriko kawaulize watu wakulima na wafugaji maana hao ndio wanaodeal moja moja na wahusika
Nenda kaishauri serikali yako kama inataka sekta ya kilimo Tanzania iwe na mchango mkubwa kiuchumi inabidi iwekeze vya kutosha kwenye hiyo sekta pamoja na kuwatumia hao wahitimu na sio kuleta siasa kwenye issue za msingi
Nimekukazia nini Demu wako huko?Maada imenadilika na kuwa ya kujadili Mademu wa SUA? tuna safar ndufu sana
Mkuu we piga kimya tu na mpotezee, jamaa siku hizi hana hoja ye kushambulia watu na matusi tu kwenda mbeleMleta maada kaisha badili Maaada,