Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Kazi ya chuo ni kufundisha wataalamu. Jukumu la serikali ni kuwawezesha hao wataalamu kupata mikopo na ardhi. Jiulize ni lini serikali imewahi kufanya hivyo km sio siasa tu? Acheni kulaumu kwa kukalili.Sijanona bado Tija ya kuwepo kwa Chuo hiki cha SUA kwa Taifa kama mpaka Leo hii Tanzania iko nyuma mno kwa Kilimo.
Kilimo sio km rocket science kwamba ukihitimu hapo hapo unaweza kurusha rocket, lazima uwekezaji ufanyike kuchanganya na utaalamu."Think critically.