Kilimo kitafanikiwa vipi na Kuinua Uchumi, ikiwa wasomi wa kilimo hawasaidii?

Sijanona bado Tija ya kuwepo kwa Chuo hiki cha SUA kwa Taifa kama mpaka Leo hii Tanzania iko nyuma mno kwa Kilimo.
Kazi ya chuo ni kufundisha wataalamu. Jukumu la serikali ni kuwawezesha hao wataalamu kupata mikopo na ardhi. Jiulize ni lini serikali imewahi kufanya hivyo km sio siasa tu? Acheni kulaumu kwa kukalili.

Kilimo sio km rocket science kwamba ukihitimu hapo hapo unaweza kurusha rocket, lazima uwekezaji ufanyike kuchanganya na utaalamu."Think critically.
 
Laiti Kama viongozi wangekuwa wanafuatilia comment zetu kilimo kingewekewa bajeti kubwa kuliko sekta zingine maana Tanzania tunaishi kwa kutegemea mvua tu wakati misri na nchi ambazo zinazungukwa na majangwa ambapo mvua n nadra lakin wanalima Sana kuliko sisi ambapo mvua zikinyesha vijana tunakimbilia mjini wakat tuliambiwa ukiutaka utajiri utaupata shambani.

Sent from my Infinix X657C using JamiiForums mobile app
 
If the policy is wrong, the agriculture canot be right.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…