Kilindi, Tanga: Ushuru Fuso laki tatu, baadhi ya wafanyabiashara wagoma kununua maembe

Hapo wameshapiga mahesabu yao ktk hiyo lak 3 ofisin itaenda ngap na mfukoni ngap[emoji848][emoji848]
Ulipe 300,000/- halafu ulipe usafiri kutoka hapo hadi mjini ukauze. Ukifika mjini unakutana na dalali anakupangia bei yake. Ukigoma yanaoza!
 
Ulipe 300,000/- halafu ulipe usafiri kutoka hapo hadi mjini ukauze. Ukifika mjini unakutana na dalali anakupangia bei yake. Ukigoma yanaoza!
sio sawa kabisa
 
Halmashauri nyingine zimejaa ulaghai sana.
Hivi maembe ambayo hujampa mtu mtaji,pembejeo,hujamkodishia shamba,hujamuwekea miundombinu ya maji nk unamuambia tani kumi laki tatu,unataka hela zote hizo kwa kazi gani uliyoifanya?
Nauli zenyewe zinachukuliwa kubwa kwa ubovu wa miundombinu kisha halmashauri wanakandamizia ushuru mkubwa.
Haya watoza ushuru itaneni muingie kwenye mapori mle maembe hayo mshaachiwa. Kuleni mshibe

Aibu yenuuuu
 
Hii sio sawa,kwa wanaoweka hivyo viwango huwa qanafikiria kweli?

Ila watu wa serikali/waajiriwa hawafai kabisa sijui ukikomoa mfanyabiasha unamfaidisha nani sasa.

Mwishowe wafanyabiashara hawatakuja na maembe yataoza sasa sijui ndio watakuwa wamepata hayo mapato au laa.

Wekeni ushuru fair
 
well said
 
Wanafikir hela zinatikiswa kama maembe hawa jamaa
Mkuu acha jazba mbona iyo hela ya ushuru ni ndogo tu si ni kama dola mia na ushee? Kuweni na fahari kuchangia maendeleo kwenye sehemu husika kwa maslahi mapana ya taifa.

Sauh'waaah?!
 
Mkuu acha jazba mbona iyo hela ya ushuru ni ndogo tu si ni kama dola mia na ushee? Kuweni na fahari kuchangia maendeleo kwenye sehemu husika kwa maslahi mapana ya taifa.

Sauh'waaah?!
maslahi mapana au sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…