RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 55,727
- 123,094
Ulipe 300,000/- halafu ulipe usafiri kutoka hapo hadi mjini ukauze. Ukifika mjini unakutana na dalali anakupangia bei yake. Ukigoma yanaoza!Hapo wameshapiga mahesabu yao ktk hiyo lak 3 ofisin itaenda ngap na mfukoni ngap[emoji848][emoji848]