Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Wengi ni majambazi sikuhizi ,nimachawa sikuhizi, malengo ni kumuumiza mwanaume,kisa na mkasa, kuwa wanaume wanajiweza ,wanajiona na wanawaonea ,ama hisia za kuwanyanyasa,hivyo kilicho baki ni kuwakomoa.
Poleni asee
 
Niliwashawahi kuumizwa mara moja Ila sijui yule Dada alitumia mbinu gan mpka tukakaa mda mrefu Kwny mahusiano nlikua na miaka mingi kazi ya ilikua ni kuacha wadada Ila nilipo fika pale nilikwama hadi leo bado sijaona mtu anafit lile pengo kale imagine una date na mwanamke akikasrika ukitumia hela anairudisha😂
 
Ahahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .

Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...

Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom