Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Screenshot_20230727-185242.jpg
 
🤣We nae🙌
Mkuu ni kweli Mimi nilikua nasikia TU wivuu wivuu..

Mpaka jumatatu ya majuzi ndipo Kuna work mate wa kijichi Nika muuliza Kuna wimbo nausikia Sana kwenye ma bajaji , pikipiki,daladala, na Yale magari ya vigodoro.

Ndipo akaniambia J COMBAT ndio nikafanya ku msearch boom play na baadae you tube.

Ndipo nikasikiliza NGOMA zake na utunzi wake.
 
🤣🤣Haya bhana
 
Mimi mnyw nilikua nausikia kwa my colleague ni "officer dust collecting tu mkubwa hapo daslam nkausearch it has themes kakweli
 
Sikuhizi wanaume mnalia hivi

Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia

Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa

Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue
Nakupa na marejesho kausha damu
 
Hicho ni kilio cha baadhi ya wanaume na siyo wote,, sasa kumlipia mwanamke ombaomba hela ya kikoba kuna mmaliza nini mwanaume ili hali amefanya hayo kama wajibu wake unavyo mtaka afanye?? 😄😄
 
Back
Top Bottom