Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Baada ya kupigwa na kitu kizito ndio unaimba wivuuuu hahahahaha
Nimewai kufanya na warefu,wafupi,wembamba,,weupe weusi,wazenji, wakurya,wamasai, big booty, mpaka kuvuka mipaka wabotwana e.t.c nilicho kuja kugundua ni kujisumbua TU Utofauti ni mdogo TU.
Nimetulia na familia yangu hata sipepesi macho.
Nisha tundika daluga kitambo Sana Mimi ni mstaafu kwa Sasa.
 
Tunatofautina risky TU,Tena huyu was reja reja anapewa kiufundi Ili akumbukwe atoe miadi tena!

Huyo aliezoeleka anapewa kimazoea tu mradi siku hazigandi!
Kwahiyo ushakubali kuwa nyama na maharage hazifanani ee?
Acha ubishi wewe haya ndio maisha halisi
Tafuta hela juu tuko wachache ila hatushuki
 
Nimewai kufanya na warefu,wafupi,wembamba,,weupe weusi,wazenji, wakurya,wamasai, big booty, mpaka kuvuka mipaka wabotwana e.t.c nilicho kuja kugundua ni kujisumbua TU Utofauti ni mdogo TU.
Nimetulia na familia yangu hata sipepesi macho.
Nisha tundika daluga kitambo Sana Mimi ni mstaafu kwa Sasa.
Endelea kujifariji, nasemaje nasemaje
Anaekula nyama hawezi fanana na anaekula kunde
 
Endelea kujidanganya...wanawake sasa hivi wameshuka bei kwelikweli....wala sio tatizo tena...
Ukimuona mtu analilia mwanamke ujue huyo jamaa ni lofa kwelikweli....
Ni hayo tu....
Nasemaje nasemaje
Anaekula nyama na anaekula kunde hawawezi fanana
Jaribu kutafuna nyama na mfupa wake uone ilivyo traaaaaaamu
 
Sikuhizi wanaume mnalia hivi

Nakupa mapenzi
Nakupa vichenji
Nini haupati,
Vikoba nimekulipia

Dah, ila wanaume mnajua kulia? Mpaka mnaenda studio mnaimba kabisa

Akina mama wapunguzieni adhabu wanaume wa watu jamaan, mtawamaliza mjue

Ya nini ulilie hivyo kwani mwanamke yupo peke yake? Ukiona anazingua tafuta demu mwingine tu hakuna kubembelezana.
 
Back
Top Bottom