Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Kilio cha mwanaume kwenye mapenzi kwa sasa ni hiki

Kinachowauma watu ni kuwekeza mzee mwenzangu. Akifikiria investments alizofanya daah.!

Ndio maana mimi huwa nawaambia vijana wenzangu usiweke kwa mwanamke, au ukiona kuna umuhimu kidogo basi angalao wekeza kiasi ambacho unaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza
Kwa nini ufanye uwekezaji mkuu, kwani mapenzi ni biashara?
 
Back
Top Bottom