Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
- #101
Ambao hamjawahi kupenda naomba mtupishe kidogoHicho ni kilio cha baadhi ya wanaume na siyo wote,, sasa kumlipia mwanamke ombaomba hela ya kikoba kuna mmaliza nini mwanaume ili hali amefanya hayo kama wajibu wake unavyo mtaka afanye?? 😄😄
Hapa tunahitaji wanaume wanaoishi kwenye uhalisia na waliowahi kupenda na kuumizwa
We tupishe kwanza na imagination zako