Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 17,694
- 17,131
- Thread starter
-
- #121
Poleni aseeWengi ni majambazi sikuhizi ,nimachawa sikuhizi, malengo ni kumuumiza mwanaume,kisa na mkasa, kuwa wanaume wanajiweza ,wanajiona na wanawaonea ,ama hisia za kuwanyanyasa,hivyo kilicho baki ni kuwakomoa.
Hapana sina mda wa kujipakulia mkuu...
Mpaka sasa mi nakimbia hawa watu aiseeee ...
Kila siku nakutana na wapya
Ukimpotezea anaondokaKuumiza kujitakia mwanamke mwenye tamaa sana dawa yake unampotezea tu mpaka akili imkae Sawa.
Nani anataka wanaume wa jamii forum sasa?singo maza wanazurura na kujaza server za JF 💩 wanaume hawaoi sikuhizi ni kuzalisha tu
Niliwashawahi kuumizwa mara moja Ila sijui yule Dada alitumia mbinu gan mpka tukakaa mda mrefu Kwny mahusiano nlikua na miaka mingi kazi ya ilikua ni kuacha wadada Ila nilipo fika pale nilikwama hadi leo bado sijaona mtu anafit lile pengo kale imagine una date na mwanamke akikasrika ukitumia hela anairudisha😂
Ahahah we shangazi jau kweli...
Mi nakimbia kutokana na wengi wanakuja alafu mi sielewi an .
Unashangaa mtu anakupendea nn kama pesa huna,,, Sura huna... Yaan huna huna huna ila bado wanashobokea dundo...
Achana na wake za watu bado kuna lundo la mashangazi..
😂😂😂😂
singo maza wanazurura na kujaza server za JF 💩 wanaume hawaoi sikuhizi ni kuzalisha tu
Siio rahisi Niko makini skuhizi kutafta maendeleo yangu binafsi yananifanya nisiwe serias na mahusiano nimepata demu ambaye hajaTulia na namimi sijatulia🤣hapa ni ngoma droo
Bwana wangu ninaekubali kushea na wanawake wengine ni...
Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?www.jamiiforums.com
PouwaVipi peny
My friends.. When betting please... BET WHAT YOU CAN AFFORD TO LOOSE..