Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

Punguza ushabiki sana ata CDM waingie ikulu walimu hawatoajiliwa wote waishe mtaani maana mnakaribia laki 1 mtaani saivi, sema wapunguze walio kaa mtaani sana kuanzia 2014 hadi 2016
 
Kwa nchi zilizoendelea hio ni sababu tosha ya walimu kutompigia kura tena Jamaa na kuhamisha majeshi kwa Lissu. Haiwezekani awakumbuke dakika za mwisho karibia na uchaguzi. Siku zote alikua wapi?
 
We uwe unawaza.. Unakumbuka mbunge wa Kilwa alisema nini..!? Mwishoooniii wataachiaa...
 
Mtoa Mada mbona kama povu hivi??
Hujui kama walimu wameambiwa wakajitolee, Je ajira zinahitajika Ualimu tu, Ni miaka Mingapi imepita Bila Ajira za kueleweka hali ya kuwa uhitaji ni mkubwa Maeneo yote!
 
Mtoa Mada mbona kama povu hivi??
Hujui kama walimu wameambiwa wakajitolee, Je ajira zinahitajika Ualimu tu, Ni miaka Mingapi imepita Bila Ajira za kueleweka hali ya kuwa uhitaji ni mkubwa Maeneo yote!
Wameambiwa wakajitolee wapi mbona mimi nishawai kwenda kujitolea wakasema walimu wamejaa.
 
Hv mazaga one uongouongo utaacha lini..?
Naona umekimbia Uzi wako ule umeamua uunde mwngine uendekee kudanganya raia
 
Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tu
Sio rahisi akaajiri walimu wa arts. Sana sana science dah inauma kweli, nilijinyima sana kumlipia Dogo na hapo na mm nasoma,dah yetu macho
 
Rushwa ya uchaguzi haitasaidia chochote
 
Msimu huu ndio hasa kwa wananchi kulipwa na wanasiasa.
 
Hii iwe kweli au uongo

Iwe rushwa au si rushwa

Iwe ni kunyang'anya agenda ya upinzani au kutonyang'anya

Kwanini huwa kuna manyang'au yanafurahia upinzani ufe? Yanajua umuhimu wake kweli?
 
Jogoo hoyeee! Walimu hoyeee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…