Kilio Cha Walimu Wasio na Ajira chasikika: Serikali yajipanga kuajiri walimu mwezi huu

Punguza ushabiki sana ata CDM waingie ikulu walimu hawatoajiliwa wote waishe mtaani maana mnakaribia laki 1 mtaani saivi, sema wapunguze walio kaa mtaani sana kuanzia 2014 hadi 2016
Sio ushabiki.
Hv mazaga one uongouongo utaacha lini..?
Naona umekimbia Uzi wako ule umeamua uunde mwngine uendekee kudanganya raia
Unanionea@Shombe la Kisomali.Ila hii utajionea muda si mrefuu
 
Hiyo ni rushwa ya wazi, kwa nini kipindi hiki?
 
Hill litakuwa kosa ambalo watalifanya kwa Mara nyingine MTU huna ajira aache kutafuta riziki sehem nyingine akajitolee bure kwa maisha ya sasa yalivyo nawashauri wasifanye hivyo maana wataongeza hasira na chuki.
haswaa mimi nimemaliza 2015 ina maana ningejitolea hadi leo hii? Na nina familia, hata wakitoa ajira leo kura yangu hawaipati kamwe. Nimeshateseka sana na wazaz wangu wote wanaumwa hata pesa ya dawa sina
 
Ataajiri walimu laki ngapi?
Ikumbukwe kuwa tangu 2015 mpaka leo 5 batches out.
Na kama mtu umesoteshwa kwa miaka 3'4'5 leo anakuajiri ukimsifia basi huna akili.
Binafsi ni mtumishi wa umma, ofisi yetu yenye watumishi zaidi ya 50, kura za Magufuli hazitazidi 5 kutoka kazini kwetu.
Ndio maana watu kama nyie mkipost matapushi yenu nayakemea hayo mapepo ya ujinga na upumbavu yaliyowashikia.
Ajira ni haki ya msingi ya kijana yeyote.
Sasa CCM wanajifanya kuigeuza kuwa ajenda ya kuwalubuni wapumbavu na wajinga
 
wengi ya wanaodai kujitolea ni waongo majina yameingizwa kinyemela.
hiki nacho ni kipimo cha umakini wa serikali hii
 
Kumbe fani zote wengi wao walishaajiriwa isipokuwa walimu pekee??

Walimu wamekuwa ni ngazi ya kuchukulia madaraka au sio,,! [emoji23] [emoji23]
 
tena hana akil kbsa
 
Uchaguzi huooooooooooooooooooo
 
Walimu wa Physics tu..na Maths tena wachachee.
 
Kwani ajira ni walimu tuu?? Je uataweza kuajiri since 2015??? Hivi mataga mnatumia kiungo gani kufikiri???
 
Bwn Yule anaenjoy sana kuona watu ni majobless ili akipita kwny msafara wake wamsimamishe barabarani aanze kuwagawia maburungutu yake huku akiwasimanga.
 
Magufuli Ana Ajiri Mwezi huu.Tundu Lissu Ata Ajiri Majukwaani tu
Ataajiri wangapi??? Je wasio na ajira ni walimu tuuu!?? Je fani nyingine!???na hata hao walimu atachukua mwaka gani???? 2015 au 2016 au 2017 au 2018 au 2019 au 2020 au wale waliokua benchi 2015 kurudi nyuma!??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…