Wakati huo madaraja yameshushwa kutoka TGTS I had I TGTS H mwisho.Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Na huyo ndio mtetezi wa wanyonge.Wakati huo madaraja yameshushwa kutoka TGTS I had I TGTS H mwisho.
Daraja I sasa hivi hakuna mwisho H tu, lengo in kupunguza pension za wavuja jashoNa huyo ndio mtetezi wa wanyonge.
Hatudanganyiki na huo upuuzi.Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Jamaa kashaanza kuvurugwa hata kampeni hazijaanzaKazi IPO safari hii.
Na hapo ndipo unashangazwa sasa, yeye analipwa mamilioni,watoto wake anasomeshewa,Mali anazo nyingi,pensheni ya mabilioni atapata sasa hivi vipensheni vya watumishi maskini vinamuumiza nini yeye?Daraja I sasa hivi hakuna mwisho H tu, lengo in kupunguza pension za wavuja jasho
Shombe la Kisomali Soma hiiHv mazaga one uongouongo utaacha lini..?
Naona umekimbia Uzi wako ule umeamua uunde mwngine uendekee kudanganya raia
Kosa Ni Kutoweka Tick kwa JPM utajutia miaka Mitano.Shauri yako.Sirudii kosa October
Hayo Sasa ni ya Kwako.Huo nao ni ujinga kama ujinga mwingine
Duuh!Wanao ajiriwa hapo ni walimu wa Maths na Physics wengine ni bahati nasibu itakapo angukia.
Tujiandae na yajayo.Jamaa kashaanza kuvurugwa hata kampeni hazijaanza
Mbona mnachanganyikiwa mapema kiasi hiki?Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Milioni 50 kila kijiji zinakuja lini?Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Akili n nywele ...Habari wanaJF,