Uwanja wa jamuhuri Dodoma mkulu aliongea nini mkuu? Na huko moshi mkuu aliongea nini?Hapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.
Sasa naanza kuamini humu mitandaoni watu huwa mnakurupukia Mambo bila utafiti.
Ahahaaaa mkisusa wanazigeuza kuajiri polisi.Wamesema wanaajiri walimu 12,000 hii ni dharau kama dharau zingne, idadi yao ni sawa na wahitimu wa chuo kimoja tu , mfano UDSM since 2015.
Wahitimu laki 5 wapo mtaani afu wewe unatangaza ajira 12,000? Upuuzi huu
Graduates ukibahatika kuajiriwa au usipoajiriwa usimpe kura CCM, ukifanya vile ni matumizi mabaya ya akili yako.
na mishahara aongezeHabari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Rushwa hiyo au danganya toto. Uchaguzi ni lini vile?Habari wanaJF,
kile kilio cha ajira kwa Walimu na Wapinzani kutaka kufanya ajenda kubwa kwenye uchaguzi wa mwaka huu kinaenda kuisha mwezi huu
Mkajipange tena sijui mje na sera gani tena ajira za Walimu kutolewa mwezi huu raha ya CCM, raha ya Magufuli ana ahidi na kutelekeza na ikumbukwe hii ni ahadi yake aliyoitoa kwenye mkutano wa mkuu wa CWT Dodoma wakati wanafanya uchaguzi wao.
Na sili za waziri mkuu ziliishia hewaniHapana Mkuu mbona hizi ziliahidiwa na Mhe.Rais Pale Uwanja Wa Jamhuri Dodoma Siku ya Mkutano Mkuu wa CWT Fuatilia Hotuba Yake Siku hiyo 05/06/2020.
Sasa naanza kuamini humu mitandaoni watu huwa mnakurupukia Mambo bila utafiti.
Hilo tangazo la kujitolea ni official toka kwa jiwe? au wewe MATAGAMtoa Mada mbona kama povu hivi??
Hujui kama walimu wameambiwa wakajitolee, Je ajira zinahitajika Ualimu tu, Ni miaka Mingapi imepita Bila Ajira za kueleweka hali ya kuwa uhitaji ni mkubwa Maeneo yote!
Hii serikali nilazima ipigwe chini october 28, kelele na promo nyingi ilihali katika uhalsia hakuna walichofanya, kweli ajira 12,000 ndani ya miaka 5? Watanzania kataeni kutumika.
TayariiiiiSource ya habari?
Tunaenda na Magufuli mitano Tena.Kwanza ho sio ajira,
hii serikali ingelikuwa ni serikali ya kyajiri na imedhamiria kweli kutokana na ukame wa ajira miaka yote hii basi at least tungesikia ajira 100,000+ Ila huu ni upuuzi tu.
Vijana wenzangu 2020 twendeni na Lissu
JPM anatoshaa.Tundu Lissu ataajiri. Amejipanga kisawa sawa.